mtumishiwaleo
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 1,477
- 1,725
Tarifa imetoka ikulu yeye waziri, angeliwaje kumkatalia boss wake?Samia ndio kasababisha yote haya kisa eti hatuonyeshe watanganyika jinsi anavyompatia mzee Mwinyi Benzi la maanaHuyu waziri wa michezo ni utopolo wa kutupwa kwanini tusiamini hii njama walipanga pamoja