TFF yaruhusu mchakato wa Uchaguzi Simba SC uendelee

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,734
Reaction score
140,476
Your browser is not able to display this video.


Taarifa ya TFF kwa vyombo vya habari imeruhusu mchakato wa Uchaguzi Simba SC uendekee.

Kwa wale ambao hamjaelewa ni kuwa Uchaguzi wa Simba Sports Club kufanyika Januari 3, 2027. Utasimamiwa na Kamati ya Uchaguzi ya TFF kwa kushirikiana na menejimenti ya Simba. Leja Ipo msijali. Huyu Mangungu aliyedanganya leja haipo atueleze hiyo ni nini?
 
Mumuweke hapo kwenu, sisi hatumtakii tenaaa.
Sema humtaki wewe. Sisi mashabiki wengi pamoja na wanachama tunamtaka aendelee kuitetea klabu yetu isitekwe na genge la mwekezaji janja janja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…