zawadi special
JF-Expert Member
- Sep 30, 2026
- 211
- 247
Nimetembea mitaaniHizo asilimia ulizipata wapi
Nimetembea mitaaniHizo asilimia ulizipata wapi
Hatumtakiiiiii
Kanuni hazimruhusu, kwani hili hulijui?Hiyo sio demokrasia. Mwenyekiti ni mwanachama hai, ana haki zote za kugombea tena kama kanuni zinaruhusu. Mimi binafsi kama mwanachama wa makolo nitampigia kura.