DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Shirikisho la soka nchini Tanzania (TFF) leo limetoa orodha ya mawakala 12 wa wachezaji waliofaulu na kupata leseni ya kufanya shughuli za uwakala wa wachezaji ya Shirikisho la soka duniani (FIFA).
Mapema mwaka huu, Amos Mlandali maarufu kama Sizo alikuwa mmoja kati ya walifaulu mtihani wa uwakala wa wachezaji wa shirikisho la mpira wa miguu duniani (FIFA Football Agent) na kupata leseni yake ya FIFA inayomruhusu kufanya kazi ya uwakala na wachezaji popote Duniani.
Sizo @sizo_theboy pia anafanya kazi na kampuni ya kimataifa ya uwakala ya LTA Agency ya nchini Bulgaria inayosimamia wachezaji wakubwa wa kike Duniani kama Paredes (Barcelona), Barbra Banda (Orlando Pride), Aisha Masaka (Brighton Albion), Clara Luvanga (Al Nassir) na wengine wengi.Lakini pia ni mwanzilishi na mmiliki wa kampuni yake ya uwakala ya EMLA.