TFF yatoa orodha ya mawakala wa Tanzania wanaotambulika na FIFA

TFF yatoa orodha ya mawakala wa Tanzania wanaotambulika na FIFA

Mkuu soma maelezo wanasema waliohitimu mwaka huu kama umemaliza chuo 2023 serikali ikitoa orodha 2025 wewe jina lako halipo ina maana itakuwa hujamaliza chuo itakuwa.
Hao ni wale wanaotambulika mwaka huu, siyo walihitimu mwaka huu. Angalia namba zao zinavyotofautiana, kuna 1N, 1P, 1Q, 1S ambayo ni miaka tofauti ya kupata leseni.
 
Wapi Binti Kazumari na Jasmine wakala wa makolo
Kamdomo ka Jasmine ndiko kamesababisha haya. Mawakala feki sasa atabanaiwa au lazima wafanye mtihani watekeleze kanuni za uwakala zilziowekwa na FIFA na kuacha kutukana vilabu vya mpira kwenye vyombo vya habari. Maneno aliykuwa anasema kwenye vyombo vya habari ni kwa sababu hakuwa na leserni, angekuwa na leseni basi kwa maneno yale angefutiwa leseni hiyo. Mojawapo ya masharti ya uwakala ni kufanya kazi na vilabu vya mpira cordially hata kama hamkubaliani.
 
Maneno mengi kuliko kwenye hio orodha jina la Jasmine lipo wapi, ulivyo mbumbumbu unafanisha kumsaidia mtu na kuwa wakala
Usisahau kununua uzi mkali wa wananchi nasikia ukinunua moja unapewa na offer ya jezi nyingine.
 
Yaani yanga bwana yule ali kamwe kawakamata masikio kila kitu mnamsikiliza jasmine alimsimamia Emanuel ebou alipokuwa na matatizo na alikuwa ebou analala kwa jasmine wakati hana makazi mpaka pale club ya arsenal ilipompatia hifadhi ya kulala uwanjani yaani nikimuona mtu anamuongelea vibaya jasmine najua yeye ni wale mashabiki ambao ni local yaani ni simba na yanga ila kimataifa hana ajualo.
Chai
 
Nimewahi kuuliza contact za wakala humu au Kama yupo wakala kutoka DRC congo ni muhimu zaidi I mean business..
 
Wakala kipenzi cha mashabiki wa simba bi dada Jasmine Razack, yeye huwa anakabia juu tu! Akiona sehemu kuna mnuso, analeta pua yake faster.
hajawahi kuleta mchezaji Simba ndiye huyo alikuwa anamsimamia Mayele na Feisal
 
Back
Top Bottom