Ili uwe wakala inabidi usomee nini!?Shirikisho la soka nchini Tanzania (TFF) leo limetoa orodha ya mawakala 12 wa wachezaji waliofaulu na kupata leseni ya kufanya shughuli za uwakala wa wachezaji ya Shirikisho la soka duniani (FIFA).
Mapema mwaka huu, Amos Mlandali maarufu kama Sizo alikuwa mmoja kati ya walifaulu mtihani wa uwakala wa wachezaji wa shirikisho la mpira wa miguu duniani (FIFA Football Agent) na kupata leseni yake ya FIFA inayomruhusu kufanya kazi ya uwakala na wachezaji popote Duniani.
Sizo @sizo_theboy pia anafanya kazi na kampuni ya kimataifa ya uwakala ya LTA Agency ya nchini Bulgaria inayosimamia wachezaji wakubwa wa kike Duniani kama Paredes (Barcelona), Barbra Banda (Orlando Pride), Aisha Masaka (Brighton Albion), Clara Luvanga (Al Nassir) na wengine wengi.Lakini pia ni mwanzilishi na mmiliki wa kampuni yake ya uwakala ya EMLA.
View attachment 3464616
Jasmine na huyo Kazumari ni mawinga.Wapi Binti Kazumari na Jasmine wakala wa makolo
Wakala kipenzi cha mashabiki wa simba bi dada Jasmine Razack, yeye huwa anakabia juu tu! Akiona sehemu kuna mnuso, analeta pua yake faster.
Ikipendeza weka contact zaoShirikisho la soka nchini Tanzania (TFF) leo limetoa orodha ya mawakala 12 wa wachezaji waliofaulu na kupata leseni ya kufanya shughuli za uwakala wa wachezaji ya Shirikisho la soka duniani (FIFA).
Mapema mwaka huu, Amos Mlandali maarufu kama Sizo alikuwa mmoja kati ya walifaulu mtihani wa uwakala wa wachezaji wa shirikisho la mpira wa miguu duniani (FIFA Football Agent) na kupata leseni yake ya FIFA inayomruhusu kufanya kazi ya uwakala na wachezaji popote Duniani.
Sizo @sizo_theboy pia anafanya kazi na kampuni ya kimataifa ya uwakala ya LTA Agency ya nchini Bulgaria inayosimamia wachezaji wakubwa wa kike Duniani kama Paredes (Barcelona), Barbra Banda (Orlando Pride), Aisha Masaka (Brighton Albion), Clara Luvanga (Al Nassir) na wengine wengi.Lakini pia ni mwanzilishi na mmiliki wa kampuni yake ya uwakala ya EMLA.
View attachment 3464616
Mbona hatumuoni Jasmine na Shafii dauda😂😂Shirikisho la soka nchini Tanzania (TFF) leo limetoa orodha ya mawakala 12 wa wachezaji waliofaulu na kupata leseni ya kufanya shughuli za uwakala wa wachezaji ya Shirikisho la soka duniani (FIFA).
Mapema mwaka huu, Amos Mlandali maarufu kama Sizo alikuwa mmoja kati ya walifaulu mtihani wa uwakala wa wachezaji wa shirikisho la mpira wa miguu duniani (FIFA Football Agent) na kupata leseni yake ya FIFA inayomruhusu kufanya kazi ya uwakala na wachezaji popote Duniani.
Sizo @sizo_theboy pia anafanya kazi na kampuni ya kimataifa ya uwakala ya LTA Agency ya nchini Bulgaria inayosimamia wachezaji wakubwa wa kike Duniani kama Paredes (Barcelona), Barbra Banda (Orlando Pride), Aisha Masaka (Brighton Albion), Clara Luvanga (Al Nassir) na wengine wengi.Lakini pia ni mwanzilishi na mmiliki wa kampuni yake ya uwakala ya EMLA.
View attachment 3464616
Yaani yanga bwana yule ali kamwe kawakamata masikio kila kitu mnamsikiliza jasmine alimsimamia Emanuel ebou alipokuwa na matatizo na alikuwa ebou analala kwa jasmine wakati hana makazi mpaka pale club ya arsenal ilipompatia hifadhi ya kulala uwanjani yaani nikimuona mtu anamuongelea vibaya jasmine najua yeye ni wale mashabiki ambao ni local yaani ni simba na yanga ila kimataifa hana ajualo.Wapi Binti Kazumari na Jasmine wakala wa makolo
Mwingine huyu hapa ila ukiwa yanga ngoja niishie hapo.Jasmine na huyo Kazumari ni mawinga.
Kataa mawinga kwenye soka.
Mkuu umesoma vizuri andiko au unaenda na flow kama hao wa juu.Wakala kipenzi cha mashabiki wa simba bi dada Jasmine Razack, yeye huwa anakabia juu tu! Akiona sehemu kuna mnuso, analeta pua yake faster.
Yule ni kama hansi Rafael na yule nasri vibarua wa yanga.Ivi yule bin kazu,ari ana elimu gani? jamaa anaropoka halafu ni mjuaji sana
Mkuu soma maelezo wanasema waliohitimu mwaka huu kama umemaliza chuo 2023 serikali ikitoa orodha 2025 wewe jina lako halipo ina maana itakuwa hujamaliza chuo itakuwa.Mbona hatumuoni Jasmine na Shafii dauda[emoji23][emoji23]
Mjinga hapo ni Mzize alikubali kuwa chini ya wakala asiyetambulikaWakala kipenzi cha mashabiki wa simba bi dada Jasmine Razack, yeye huwa anakabia juu tu! Akiona sehemu kuna mnuso, analeta pua yake faster.
Alimaliza form six Ndanda high school 1998Ivi yule bin kazu,ari ana elimu gani? jamaa anaropoka halafu ni mjuaji sana
Yaani yanga bwana yule ali kamwe kawakamata masikio kila kitu mnamsikiliza jasmine alimsimamia Emanuel ebou alipokuwa na matatizo na alikuwa ebou analala kwa jasmine wakati hana makazi mpaka pale club ya arsenal ilipompatia hifadhi ya kulala uwanjani yaani nikimuona mtu anamuongelea vibaya jasmine najua yeye ni wale mashabiki ambao ni local yaani ni simba na yanga ila kimataifa hana ajualo.
Maneno mengi kuliko kwenye hio orodha jina la Jasmine lipo wapi, ulivyo mbumbumbu unafanisha kumsaidia mtu na kuwa wakalaYaani yanga bwana yule ali kamwe kawakamata masikio kila kitu mnamsikiliza jasmine alimsimamia Emanuel ebou alipokuwa na matatizo na alikuwa ebou analala kwa jasmine wakati hana makazi mpaka pale club ya arsenal ilipompatia hifadhi ya kulala uwanjani yaani nikimuona mtu anamuongelea vibaya jasmine najua yeye ni wale mashabiki ambao ni local yaani ni simba na yanga ila kimataifa hana ajualo.