Issue ya Kessy adhabu ni Yanga kuilipa Simba gharama ya kuvunja mkataba ndio maana Kessy aliruhusiwa the same case Okwi alivyosajiliwa na timu ya Tunisia,Okwi aliruhusiwa kucheza lakini adhabu ilikuwa wao kulipa ada na faini.hawa Tff hawaaminiki hata suala la kessy walilifumbia macho hivihivi eti yanga inapigwa faini
Mimi Kama mjinga wewe zezeta bloody commentnadhani wewe ndo mjinga katika hili... kanuni ya saba inasema TFF ina mamlaka ya kupeleka shauri lolote la ukiukwaji wa sheria katika kamati husika bila kujali kosa hilo limelalamikiwa au la... kwahiyo hata kama polisi dar hawakuwa wamepeleka malalamiko still TFF ilitakiwa kulichukua shauri hilo na kulifanyia kazi.
kuna muda ufike haya mapenzi yetu ya simba na yanga tuyaache kwenye issue za msingi
Mkuu umeshagida valeur?Sh
Sheria na kanuni ni vitu viwili tofauti
Katiba-sheria-kanuni. Huo mlolongo.
Sana tu. Ndiyo maana sijui tofauti kati ya sheria na kanuni. Law and regulations.
Aya ayana budi kutokea ili upuuzi wa malinzi udhihirike. Ivi linamaliza muda wake lini?Mimi ni mshabiki wa Simba, ila kwa kosa hilo sioni kama ilihitaji mambo ya rufaa.
TFF ilitakiwa ku-act bila hata hizo mambo za rufaa.
Nisaidie kuweka na hiyo sheria ya adhabu kuendelea msimu ujao.nadhani wewe ndo mjinga katika hili... kanuni ya saba inasema TFF ina mamlaka ya kupeleka shauri lolote la ukiukwaji wa sheria katika kamati husika bila kujali kosa hilo limelalamikiwa au la... kwahiyo hata kama polisi dar hawakuwa wamepeleka malalamiko still TFF ilitakiwa kulichukua shauri hilo na kulifanyia kazi.
kuna muda ufike haya mapenzi yetu ya simba na yanga tuyaache kwenye issue za msingi
Inawezekana wao hawakuona kosa kwa mujibu wa kanuni za mashindano.Kumbuka kila mashindano yanapoanzishwa yanatengezewa kanuni zakeKwa hiyo Malinzi anasubiri timu zikate rufaa kwa kosa ambalo TFF inawajibika kulichukulia hatua!?
Huyu jamaa ndondi zilimshinda,Yanga walimtimua na TFF kumemshinda, timu ya taifa katika rank za dunia tulikuwa wa 81 sasa hivi wa 156,timu ya taifa haina mvuto tena,wadhamini wanajiondoa.
Tunaelekea kubaya kwenye soka.
Last season mchezaji alipewa kadi akatakiwa kukosa mechi inayofuata halafu maajabu yeye ndio akachagua mechi gani ya kukosaInawezekana wao hawakuona kosa kwa mujibu wa kanuni za mashindano.Kumbuka kila mashindano yanapoanzishwa yanatengezewa kanuni zake
Aya ayana budi kutokea ili upuuzi wa malinzi udhihirike. Ivi linamaliza muda wake lini?