TFF yatupilia mbali rufaa ya polisi Dar dhidi ya Lufunga

TFF yatupilia mbali rufaa ya polisi Dar dhidi ya Lufunga

hawa Tff hawaaminiki hata suala la kessy walilifumbia macho hivihivi eti yanga inapigwa faini
Issue ya Kessy adhabu ni Yanga kuilipa Simba gharama ya kuvunja mkataba ndio maana Kessy aliruhusiwa the same case Okwi alivyosajiliwa na timu ya Tunisia,Okwi aliruhusiwa kucheza lakini adhabu ilikuwa wao kulipa ada na faini.

Hii issue ya kadi sio lazima timu ikate rufaa TFF ndio walipaswa kuwaadhibu Simba
 
nadhani wewe ndo mjinga katika hili... kanuni ya saba inasema TFF ina mamlaka ya kupeleka shauri lolote la ukiukwaji wa sheria katika kamati husika bila kujali kosa hilo limelalamikiwa au la... kwahiyo hata kama polisi dar hawakuwa wamepeleka malalamiko still TFF ilitakiwa kulichukua shauri hilo na kulifanyia kazi.

kuna muda ufike haya mapenzi yetu ya simba na yanga tuyaache kwenye issue za msingi
Mimi Kama mjinga wewe zezeta bloody comment

Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo Malinzi anasubiri timu zikate rufaa kwa kosa ambalo TFF inawajibika kulichukulia hatua!?

Huyu jamaa ndondi zilimshinda,Yanga walimtimua na TFF kumemshinda, timu ya taifa katika rank za dunia tulikuwa wa 81 sasa hivi wa 156,timu ya taifa haina mvuto tena,wadhamini wanajiondoa.
Tunaelekea kubaya kwenye soka.
 
Mimi ni mshabiki wa Simba, ila kwa kosa hilo sioni kama ilihitaji mambo ya rufaa.

TFF ilitakiwa ku-act bila hata hizo mambo za rufaa.
 
Mimi ni mshabiki wa Simba, ila kwa kosa hilo sioni kama ilihitaji mambo ya rufaa.

TFF ilitakiwa ku-act bila hata hizo mambo za rufaa.
Aya ayana budi kutokea ili upuuzi wa malinzi udhihirike. Ivi linamaliza muda wake lini?
 
Badala ya kubishana hewani kuna mtu anaweza kutuwekea hapa hiyo kanuni inayodaiwa kuvunjwa ili tuichambue na kuiwekea 'uamuzi'?.

Otherwise, tunaweza kiwa tunadanganyana na haishangazi hasa hisia zinapoongoza akili
 
nadhani wewe ndo mjinga katika hili... kanuni ya saba inasema TFF ina mamlaka ya kupeleka shauri lolote la ukiukwaji wa sheria katika kamati husika bila kujali kosa hilo limelalamikiwa au la... kwahiyo hata kama polisi dar hawakuwa wamepeleka malalamiko still TFF ilitakiwa kulichukua shauri hilo na kulifanyia kazi.

kuna muda ufike haya mapenzi yetu ya simba na yanga tuyaache kwenye issue za msingi
Nisaidie kuweka na hiyo sheria ya adhabu kuendelea msimu ujao.
Au TFF katika kumbukumbu zao hazionyeshi kama kuna kadi nyekundu msimu uliopita?Ndo hapo police walitakiwa kupeleka ushahidi,halafu inakuwaje na wanakata rufaa bila kulipia?
 
Kwa hiyo Malinzi anasubiri timu zikate rufaa kwa kosa ambalo TFF inawajibika kulichukulia hatua!?

Huyu jamaa ndondi zilimshinda,Yanga walimtimua na TFF kumemshinda, timu ya taifa katika rank za dunia tulikuwa wa 81 sasa hivi wa 156,timu ya taifa haina mvuto tena,wadhamini wanajiondoa.
Tunaelekea kubaya kwenye soka.
Inawezekana wao hawakuona kosa kwa mujibu wa kanuni za mashindano.Kumbuka kila mashindano yanapoanzishwa yanatengezewa kanuni zake
 
Soka la bongo bana virabu vinaona simba sc n sehemu ya kuchukulia point kipuuzi
Mwaafwaaaa tena mwaafwaaa

Police dar

Sipendagi ujinga
 
Inawezekana wao hawakuona kosa kwa mujibu wa kanuni za mashindano.Kumbuka kila mashindano yanapoanzishwa yanatengezewa kanuni zake
Last season mchezaji alipewa kadi akatakiwa kukosa mechi inayofuata halafu maajabu yeye ndio akachagua mechi gani ya kukosa
 
Huyu mla mavi wa tff na jitumbo lake anaua soka la bongo. Dhuluma, wizi, rushwa, upangaji matokeo, uhuni na ukahaba vyote anafanya halafu wizara ya habari na michezo inamchekea tu, nape naye janga tupu, anambeba sana huyu mashavu ndo maana anavuruga soka.
 
Back
Top Bottom