Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,897
- 10,213
Issue ya Kessy adhabu ni Yanga kuilipa Simba gharama ya kuvunja mkataba ndio maana Kessy aliruhusiwa the same case Okwi alivyosajiliwa na timu ya Tunisia,Okwi aliruhusiwa kucheza lakini adhabu ilikuwa wao kulipa ada na faini.hawa Tff hawaaminiki hata suala la kessy walilifumbia macho hivihivi eti yanga inapigwa faini
Hii issue ya kadi sio lazima timu ikate rufaa TFF ndio walipaswa kuwaadhibu Simba