TFF yawafungulia mashtaka Haji Manara, Hersi, wote waitwa Kamati ya Maadili

Yanga inabidi waamini Yanga bila Manara inawezekana
Kitenge alitosha kabisa kumaliza shughuli ile.
Mashabiki wamejaa uwanjani bila kuhamasishwa na Manara
Wamenunua jezi
Sasa kutambulisha wachezaji tu Manara wa kazi gani
 
Sasa TFF ni ya kushindana na CCM[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hiyo kesi kinana anapiga simu moja tuuu
Labda nikwambie tu kitu kimoja usichokijua kwamba Mpira na siasa ni kama maji na mafuta..
 
Nimeisoma ila sijaona sehemu inayo iwajibisha Yanga zaidi ya mtu mmoja mmoja, lile tukio ni la Yanga na Yanga ndiye anaye takiwa kuwajibika,kinyume chake TFF wanaigopa Yanga.
Mbona Yanga walishafunguliwa mashitaka na wakapigwa faini mara nyingi tu, au TFF wameanza lini kuogopa Yanga?
 
Wanasheria naomba mnisaidie hili,

Sina uhakika kama Haji amesha kata rufaa but nataka kujua kua endapo mtu ataikatia rufaa hukumu,mtuhumiwa katika kipindi cha kusubiri rufaa yake kusikilizwa atapaswa kuitekeleza ile hukumu yake katika kipindi hicho?
Mtu akihukumiwa kwenda pale pale askari wanakutia ndani ya karandinga kuelekea gerezani mambo ya nakala ya hukumu na yatafuata ukiwa jela.
 
Ndiyo maana kimataifa mnapigwa tu
 
BMY soku hizi kama wanalopwa mishahara bure tu, sijui kama hiyo BMT bado ipo
 
Simba waligoma kuvaa jezi zenye nembo ya mdhamini mwenza, lile lilikua kosa kubwa sana la kimaadili, je ni nani ndani ya simba alifungiwa?
Yaani chuki binafsi za mashabiki wa simba kwa manara ndio ziharibu mpira wetu? Kumbuka manara alikuepo simba, yanga walitukanwa miaka 4.. leo kinyago walichochonga kinawatisha? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]. Bongo bhanaa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…