TFF yawafungulia mashtaka Haji Manara, Hersi, wote waitwa Kamati ya Maadili

TFF yawafungulia mashtaka Haji Manara, Hersi, wote waitwa Kamati ya Maadili

Yanga inabidi waamini Yanga bila Manara inawezekana
Kitenge alitosha kabisa kumaliza shughuli ile.
Mashabiki wamejaa uwanjani bila kuhamasishwa na Manara
Wamenunua jezi
Sasa kutambulisha wachezaji tu Manara wa kazi gani
 
Sasa TFF ni ya kushindana na CCM[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hiyo kesi kinana anapiga simu moja tuuu
Labda nikwambie tu kitu kimoja usichokijua kwamba Mpira na siasa ni kama maji na mafuta..
 
Nimeisoma ila sijaona sehemu inayo iwajibisha Yanga zaidi ya mtu mmoja mmoja, lile tukio ni la Yanga na Yanga ndiye anaye takiwa kuwajibika,kinyume chake TFF wanaigopa Yanga.
Mbona Yanga walishafunguliwa mashitaka na wakapigwa faini mara nyingi tu, au TFF wameanza lini kuogopa Yanga?
 
Wanasheria naomba mnisaidie hili,

Sina uhakika kama Haji amesha kata rufaa but nataka kujua kua endapo mtu ataikatia rufaa hukumu,mtuhumiwa katika kipindi cha kusubiri rufaa yake kusikilizwa atapaswa kuitekeleza ile hukumu yake katika kipindi hicho?
Mtu akihukumiwa kwenda pale pale askari wanakutia ndani ya karandinga kuelekea gerezani mambo ya nakala ya hukumu na yatafuata ukiwa jela.
 
😂😂😂 mpira wa bongo ni zaidi ya kuwa na pesa Dada . unaweza kuileta hapa real Madrid na wasichukue ubingwa wa ligi au hats kikombe chochote. Mikoani huko kuna shida sana ukienda kichwa kichwa huambui kitu. Watu kama akina manara ndo wataalamu wa fitna za mikoani . mwaka Jana simba game za away ndo zilimpotezea ubingwa.
Hata ukisikiliza ugomvi wa manara na karia siku ile pale uwanja wa mkwakwani Tanga ni kuwa . Baada ya yanga kutangulizwa na coastal union manara alitoka uwanjani akaenda "HOTELINI" yanga waliporudisha goli ndo manara akarudi uwanjani . baada ya hapo ndipo wakaanza kurushiana maneno na Karia.
Ndiyo maana kimataifa mnapigwa tu
 
Watu wajanja sana walikuwa wanataka hii kesi igeuzwe kutoka TFF Vs Manara to TFF vs Vingozi wa Yanga.

Hapa TFF lazima waite maji mma.

Wameingia kichwa kichwa , Yanga na Simba ni kubwa sana kushinda TFF, huwezi ukapambana na viongozi wake kama unapambana na viongozi wa Ihefu
BMY soku hizi kama wanalopwa mishahara bure tu, sijui kama hiyo BMT bado ipo
 
Simba waligoma kuvaa jezi zenye nembo ya mdhamini mwenza, lile lilikua kosa kubwa sana la kimaadili, je ni nani ndani ya simba alifungiwa?
Yaani chuki binafsi za mashabiki wa simba kwa manara ndio ziharibu mpira wetu? Kumbuka manara alikuepo simba, yanga walitukanwa miaka 4.. leo kinyago walichochonga kinawatisha? [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]. Bongo bhanaa....
 
Back
Top Bottom