TFF yazindua jezi mpya za Timu ya Taifa ya Tanzania

Hiyo ya pili wametupiga mbaya kama nini!..πŸ˜‚
 
Hiyo away kit bado nitawateta sana hamna kitu hapo tumepigwa waziwazi kha! Hizo mbili nyengine wameua nizamoto..
Nafikiri hiyo away walikuwa wamepiga vitu wakaamua ipite hivyohivyo..πŸ˜…
 
Hiyo ya njano kuna watu wataikimbilia..sijapenda.
 
Jezi ni moja tu hapo iliyotumika game na Sudan, hizo nyingine ni bendera...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…