TFF yazindua jezi mpya za Timu ya Taifa ya Tanzania

TFF yazindua jezi mpya za Timu ya Taifa ya Tanzania

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
TFF yazindua jezi mpya za Timu za Taifa za Tanzania kwaajili ya Afcon 2024. Jezi hizo zimetengenezwa na kampuni ya kitanzania ya Sandaland.

Home kit
IMG_8558.jpeg
IMG_8560.jpeg
IMG_8559.jpeg


Away Kit
IMG_8562.jpeg
IMG_8561.jpeg


Third Kit
IMG_8563.jpeg
IMG_8565.jpeg
IMG_8564.jpeg
 
Hiyo ya pili wametupiga mbaya kama nini!..😂
 
Hiyo away kit bado nitawateta sana hamna kitu hapo tumepigwa waziwazi kha! Hizo mbili nyengine wameua nizamoto..
Nafikiri hiyo away walikuwa wamepiga vitu wakaamua ipite hivyohivyo..😅
 
Hiyo ya njano kuna watu wataikimbilia..sijapenda.
 
Jezi ni moja tu hapo iliyotumika game na Sudan, hizo nyingine ni bendera...
 
Back
Top Bottom