Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
LoL,Duh mzee samahani kwa kukusahau...
Basi ngoja nikuandikie shairi lako spesho...
Maxence Melo ukapela umemshinda
Mwezi wa nane jiko anajipatia
wana JF wote tunataka kumchangia
Zawadi za harusi ataibiwa akisinzia
Store ya pombe amesema atanipatia
Vigelegele na vifijo JF tunamshangilia
Mambo ya ajabu ndio yanani-fascinate'. Mi nakwambia wee hujatulia....
Lakini, ebu nipe dondoo kidogo dogo....(i'm all ears)
QM,
Umenisahau na umemsahau Shy kwenye verse yako mkuu. Kazi nzuri kusema kweli
LoL,
I never expected this mate. Thanks mkuu
Nitakupa tu utangulizi, ikifika saa tano usiku Nguruko huwa wanafunga pale chini, na kuacha pale juu open mpaka kama saa sita hivi. Ikifika saa sita wanaitisha call ya mwisho na kufunga. Lakini kwa sababu pale juu pako kama balcony hivi (ngazi za kupandia ziko nje), huwa wanaruhusu wateja kuendelea kukaa mpaka watakapomaliza pombe zao. Kama saa moja baadaye wateja wote wanakuwa wameshamaliza vinywaji na kuanza mbele. Ila siku zote huwa kuna wateja (wawili) ambao huwa wanabakia....
Ungependa niendelee....
...Nyani Ngabu ni mzee wa Pumba a.k.a "Pumba One." LOL...
QM, naomba nyongeza tafadhali kwa ajili ya: Mama, Hollo, Insurgent, Ogah, Icadon, Mpita Njia, Mama mdogo, Kasheshe, Susuviri, Tanzania-1, Abadan, X-paster, The truth, Ab-tichaz, Mzalendo, Kana-ka-Sungu, mchongoma, Pangupakavu, Pascal, Dar si Lamu.....
You can't go a day without hatin' on me.....hahahahaaa....I'm flattered, regardless.....
mmmh, I bet wewe ushawahi kuwa mmoja wa hao waliobaki. Basi mzee inatosha, usiendelee, ama sivyo itabidi nimuombe Mzee Inviiii anipe ruksa niingie temporary kule kwa wakubwa ili unielezee vizuri. Hapa inatosha kwa leo.
....mambo ya kuwa weakest link hayo!! umeona dongo nililovurumishiwa na QM?
We acha tu.....usitake kujua zaidi🙂
eebana eee, kweli kabisa, QM, naomba utuunganishie jina la: Nyama Hatari, ViciousRecklessSavage, Jokofu Kiwete, Njabu Ngabu, Shetani, samvulachole, fiSADIST, Bugurunikwamanyani, Spoila, barabaraya18, Enigma, Gigo, Gigo's Father....Huyu sijui hata nimwiteje lakini naona kaachwa...sasa hivi anatumia jina la Nyama Hatari aka VRS aka Njabu Ngabu aka Brocolli aka Senor Serginho aka Big Ngabu and many more....
eebana eee, kweli kabisa, QM, naomba utuunganishie jina la: Nyama Hatari, ViciousRecklessSavage, Jokofu Kiwete, Njabu Ngabu, Shetani, samvulachole, fiSADIST, Bugurunikwamanyani, Spoila, barabaraya18, Enigma, Gigo, Gigo's Father....
Mama, miye napenda sana watu wabunifu..... hata kama ubunifu huo hautakuwa na manufaa ya moja kwa moja. Leo QM kaonesha kitu kimoja ambacho nakipenda na kiko rohoni mwangu - UBUNIFU!! 🙂Steve naona umenogewa na mashairi, ha ha haaaa amepatia hasaaa
Mama, miye napenda sana watu wabunifu..... hata kama ubunifu huo hautakuwa na manufaa ya moja kwa moja. Leo QM kaonesha kitu kimoja ambacho nakipenda na kiko rohoni mwangu - UBUNIFU!! 🙂