- Nov 27, 2007
- 2,739
- 172
Painkiller kamsahau, huyu bwana ha-kill pain, anaiongeza. Yaani wiki yaweza kuwa kama mwaka, lol!
Second verse mentions my name Mama. Welcome back and have a nice day !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Painkiller kamsahau, huyu bwana ha-kill pain, anaiongeza. Yaani wiki yaweza kuwa kama mwaka, lol!
Second verse mentions my name Mama. Welcome back and have a nice day !
Second verse mentions my name Mama. Welcome back and have a nice day !
Sasa mbona Tyronne na LeQuisha walikuwa wanakusanya vi-union fees kila mwezi........Unataka kuniambia kuwa tumeiingizwa mjini?
Poa tu....ukinifukuza si ntarudi zangu Bongo. Halafu ntakuwa nashindilia masanga kila siku pale Nguruko, na kucheza disco pale kawe darajani...mpaka vidolali vyangu viishe.
Bongo noma! usirudi si umesikia bei ya petroli inazengeazengea mitaa ya shilingi 2,000 bei ya vyakula haishikiki! Bora utafute sehemu nyingine ya kubeba box kuliko kurudi bongo...🙂