Thabo Bester maarufu 'Mbakaji wa Facebook' na Dkt. Nandipha Magudumana wakamatiwa Arusha Tanzania. Wafahamu kwa undani wapenzi hawa

Huyo ndio mwenye deal la kuuza Viungo baada ya jamaa kuua sema ukweli unafichwa viungo vya binadamu SA ni deal mno pana kipindi Wazimbabwe walikua wanawachukua watoto Harare na kwenda kuwauza SA mpaka Serikali ilipokuja kugundua na kuweka mazingira magumu ya kuingia na watoto SA na kanuni zinabadilika kila mara nimeona wengine wakirudishwa na watoto wao kisa documents hazijakamilika...huyo angekua Tanzania ukweli Angesema hapa kwetu garage ipo ya kusema ukweli...
 
R 4000 haiwezi kuwa milln 5 badilisha upesi sana hapo.
Hata nyumba hukodi kwa pesa hiyo labda huko makaya.
 
Ningependa kujua kuhusu interpol
Interpol ni international criminal organizations kwa kifupi interpol, ni muunganiko wa majeshi ya police yaliyoamua kufanya kazi pamoja hasa katika kukabiliana na syndicates za kimataifa, kama human trafficking, drugs money laundering na mara nyingi pia kuwakamata fugitives na kuwarudisha kule walikokimbia(but hii kuna T&C must apply),na sio nchi zote duniani ni member, zingine zimeamua kutokua mwanachama, ukiwa na muda unaweza ku google ili upate more information
 

Huyu jamaa na mpenzi wake ni malofa sana, yaani, badala ya kutumia brain waliyo nayo kutapeli mahela, yeye anabaka. Bimbi kabisa huyu.
 
Hawajataka kumkamata huyo

Kama kweli wanajuwa yupo SA

Na serikali yetu na vyombo vyake vyote vya ulinzi na usalama vipo
Basi kama wana nia na dhati wafanye taratibu akamatwe huko,na ukiona kimya basi juwa hawna interest

Ova
 
Mbona nyie mnapenda kungangania watu,wao wamekamatiwa huku Acha warudishwe kwao sasa we unataka kujipa mzigo wa nini

Ova
 
HAKUUA MTU!! ALIMTUMIA HUYO DAKITARI KUCHUKUWA MAITI MORTUARY NA KUIWEKA KWENYE CHUMBA CHAKE GEREZANI NA KUKIWASHA MOTO. HAKUUWA MTU ALITUMIA MAITI ILIYOKUWA MORTUARY. HAPO WATU WENGI WANAHUSIKA SANASANA ATARUDISHWA JELA KUTUMIKIA KIFUNGO CHAKE. HAPO POLISI WANAHUSIKA, WATU WA UHAMIAJI WANAUHUSIKA MAGEREZA WANAHUSIKA
 

Mhalifu alikufa, hakutoroka.
 
Best!

Labda wammalize chap...., Lakini mwendo bado upo maana mavuba kwao na kwake yapo!..
 
Mbona nyie mnapenda kungangania watu,wao wamekamatiwa huku Acha warudishwe kwao sasa we unataka kujipa mzigo wa nini

Ova
Kukujibu naweza ila sijui ni ujinga au upumbavu, let's assume ni ujinga, maana unahitaji kuelimishwa, Tanzania sio Choo ni sovereign country yenye sheria zake na ni muhimu sheria hizi zikaheshimiwa, tumejiwekea sheria all illegals ni mahakamani maana wametudhalilisha kwa kuingilia dirishani badala ya mlangoni, pia wame undermine jeshi letu lililopewa kazi ya ku defends our borders, hukumu ni fine au kifungo au vyote kwa pamoja, Mr.Bester ni fugitive, convicted rapists na murderer, huyu ni hatari sana, SA na TZ waangalie kama wana sheria ya kurudishiana wahalifu kama ipo hili lifanyike kwa sisi to lead the process, nadhani umeelewa kama ni ujinga, upumbavu shame can't help
 
... SA walifuta adhabu ya kunyonga adhabu pekee aliyostahili Bester! Angekatiwa hiyo adhabu na ikatekelezwa inavyopaswa bila figisu shida zote hizi za kuhangaika naye zingeshasahaulika zamani. Adhabu ya kunyonga bado ina umuhimu mkubwa duniani.
Kifo ni adhabu? Mbona kinatupata wote.
Wazungu wamefuta hio kitu. Leo unamhukumu mtu kufa kesho unakufa mwenyewe bila hukumu. Binadamu huwa tunajifariji tu.
Tungekuwa tunaishi milele vasi kifo kingekuwa adhabu. We don't know wgat happen after death.
 
Nataman uongeze nyama zaidi! Kwahiyo huyu dem walikutana naye wap akiwa gerezan au ni demu wake wa miaka?
Ujasiri wa huyu dokta unatokana na nini kwamba huyo bista alisingiziwa siyo miuaji au ni mahaba tu?
Huyo Doctor ni Mke wa Mtu, ana watoto 2 na Mume wake, ila alikua anamsaliti Mume wake kwa Kutembea na Msela kabla Msela hajafungwa Jela!

Coz Msela kafungwa 2012, kabla ya hapo walikua Wapenzi tayari, na Doctor akaachana na Mume wake kwa ajiri ya Msela, ila huyo mwana kitambo alikua na Michongo ya kwenda Mbele, anaenda anarudi, akifanya issue za Modeling, akaja kupata pesa nyingi (anajua mwenyewe alikozipata).

So vile alikua anajulikana ni Model na ana connection Ulaya, akawa anawadanganya Wadada kuwafanyia mpango wakawe Model Ulaya, hasa kupitia facebook, na alikua anawalenga wale high class tu, ndo hivyo akawa anawabaka wengine kuwaua, so kuna Mdada mmoja alibakwa akasalimika kuuwa huyo ndo alimfungulia kesi, na hata wakati tukio la moto linatokea, baadye Serikali kutoa taarifa kuwa aliyekufa sio yeye, bado wananchi wengi waliamini ni yeye ndo alikufa!

Doctor keshamfungulia Mashtaka Kaka ake wa kuzaliwa, kwa madai anataka kumdhuru!

Kaka ake aliitisha Mkutano na wana habari akimtuhumu Dada ake kwa kusaliti Ndoa yake, na kwamba anatumika Kuziingiza Pesa chafu za Mhalifu kwenye Mzunguko, ni kama vile Doctor alikua na Access ya pesa za Mwana, coz alianza kununua Nyumba za kifahari kwa bei mbaya!
Mwisho akamtaka Dada ake arudi kwa Mumewe...!

Cha ajabu katika Watu waliokamatwa kwa kuandaa na kutekeleza mpango wa Kuunguza Gereza, Kuua Mfungwa asiye na Hatia na kumtorosha Mhalifu, ni Baba ake Mzazi na huyo Doctor!!!
 
Mh mkuuu ebu endelea kutupa nyamanyama utufungue all maaana weng tunandoto za kufka saiz na kumjua besta na Dr nandfa n nan asa
 
Sawa genius
 
We ni mjuaji mufilisi, mambo ya siasa ndo nini, ninyi ndo wale ambao hua mnataka mlichosema ndiyo kiwe sawa hata kama umeongea pumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…