Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
Ndo hapo sasa uone utofauti wa umakini kati ya askari wetu na askari wao.Kama kweli SA na TZ Wana Mikataba ya kiulinzi,mbona kuna wahalifu wengi tu wameharibu TZ na Wamejificha huko SA na Serekali ya SA wala haina habari nao!? Mfano mdogo tu ni Alex Masawe!!
Sisi askari wetu wako makini mno ndio maana wameweza kumkamata mhalifu wao na kumrudisha kwao.
Wenzetu hawako makini ndio maana wameshindwa kumtia nguvuni Masawe.