gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Polisi hawateki bali hukamata, mbuzi nyinyiWakuu,
Kutoka Kisiwa cha Amani mpaka Kisiwa cha Utekaji! Mpaka lini Watanzania tutaacha kuishi wa hofu?!
====
Ameandika Liberatus mtandaoni;
"Diaspora mwenzetu mkazi wa USA— Thadei Kweka ametekwa na vikosi vya Samia usiku huu. Polis na watu wasiojulikana wamevamia nyumbani kwake Moshi. Baadhi ya polisi wametambulika kuwa ni wa Hai."