polisi watekaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. McLaren

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mume wa Mentor Cherry, Mkiza Soul: Tumechoropoka kwa watekaji zaidi ya mara 3. Wame-freeze akaunti zetu ila sasa tuko salama

    Wakuu, Mume wake Cherry anayeitwa Mkiza amejitokeza hadharani kusema kuwa yeye na mkewe wako salama ila kwa sasa wamekimbia nchi Anasema kuwa wamekimbia watekaji kwa zaidi ya mara 3 na hata akaunti zao za benki zimefungwa Soma Pia: Mkiza na Mentor Cherry Zaidi ya siku 10 sasa hawapo hewani na...
  2. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Thadei Kweka achukuliwa na watu wanaodaiwa kuwa Polisi baada ya kuvamiwa nyumbani kwake Moshi

    Wakuu, Kutoka Kisiwa cha Amani mpaka Kisiwa cha Utekaji! Mpaka lini Watanzania tutaacha kuishi wa hofu?! ==== Ameandika Liberatus mtandaoni; "Diaspora mwenzetu mkazi wa USA— Thadei Kweka ametekwa na vikosi vya Samia usiku huu. Polis na watu wasiojulikana wamevamia nyumbani kwake Moshi...
  3. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Polisi kuendelea na ukamataji usiozingatia taratibu: Hawajasikia maagizo ya Simbachawene? Wanafuata maagizo ya nani?

    Majuzi Waziri Simbachawene alitoa maagizo akiwataka Jeshi la Polisi kukamata raia kwa kufuata taratibu na sheria, kwa kutokamata raia kihuni. Wawe wanavaa sare, na waache kuvaa kininja. Itakuwa Simbachawene si lolote si chochote, maana toka atoe maagizo hayo bado watu wanakamatwa kihuni, mara...
  4. Heparin

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askari waliofunika sura zao wanadaiwa kumfuatilia John Heche huko Mwanza, yadaiwa wanataka kumkamata

    Askari walioficha sura zao inadaiwa wanamfuatilia John Heche mchana huu huko MWANZA. Askari hawa wanatumia gari lenye USAJILI PT 4833. Kwanini wavae hivi wakiwa kwenye gari za POLISI? wanajificha nini?
Back
Top Bottom