PreGE2025 Askari waliofunika sura zao wanadaiwa kumfuatilia John Heche huko Mwanza, yadaiwa wanataka kumkamata

PreGE2025 Askari waliofunika sura zao wanadaiwa kumfuatilia John Heche huko Mwanza, yadaiwa wanataka kumkamata

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Heparin

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2021
Posts
450
Reaction score
3,368
Askari walioficha sura zao inadaiwa wanamfuatilia John Heche mchana huu huko MWANZA. Askari hawa wanatumia gari lenye USAJILI PT 4833.

Kwanini wavae hivi wakiwa kwenye gari za POLISI? wanajificha nini?

GqvpSqoWEAAA9pu.jpg
GqvpTBDXsAAm9fd.jpg
 
Masikini wanatumika Kama toilet paper na mafisadi maisha yao magumu Sana na mishahara ya laki 5

Ugumu wa maisha bwana unakuta hapo akitoka anaenda ofisini kusaini elfu 50 Kama posho bila kujua anayemlipa hiyo pesa anaweka mfumo hata kitukuu chake kitakufa hakijagusa hata cheo Cha ubunge tu achilia uwaziri na urais wa Tanzania

Nchi hii imejaa watu wengi wajinga Sana !!
 
Askari walioficha sura zao wanamfulia John Heche mchana huu huko MWANZA. Askari hawa wanatumia gari lenye USAJILI PT 4833.

Kwanini wavae hivi wakiwa kwenye gari za POLISI? wanajificha nini?

Wanawatisha wananchi. Haya ni mambo ya siasa za 2005-2010. Miaka fulani yalikatazwa kwenye kanuni za maadili ya uchaguzi na sheria sijui kwasasa hasa mwaka huu
 
Askari walioficha sura zao wanamfulia John Heche mchana huu huko MWANZA. Askari hawa wanatumia gari lenye USAJILI PT 4833.

Kwanini wavae hivi wakiwa kwenye gari za POLISI? wanajificha nini?


Kutokana na matendo yao, Mimi binafsi sioni tofaufi yoyote ile iliyopo Kati ya Polisi na Boko Haram au Al-Shabaab.
 
Serikali mseto ni lazima this time. Rais CHADEMA, makamu CCM. Chama chenye wabunge wengi Waziri mkuu. So far somebody sio mgombea urais itapigwa katafunua moja matata sana.
rais wa chadema labda wa TFF siyo tanzania hii kazchezeni na dadazebnu huko ccm mbelekwambele
 
Heche siyo wa kumuwinda ni wa kumuita polisi kama wana shida naye atajipeleka mwenyewe
kabisa, huyu ni wakupigia tu simu anakuja mbio ka mtoto wa darasa la kwanza, hizo ni mask kwa ajili ya kujikinga na wahuni, we huoni kenya rais alipondwa kiatu na wahuni sasa hawa wakwetu lazima wajihami
 
Heche siyo wa kumuwinda ni wa kumuita polisi kama wana shida naye atajipeleka mwenyewe
Policcm wanapokuwa kwenye shughuli zake kihalali kwa nini wajifiche nyuso zao. Hata lissu walikuwa wanauwezo wa kumwita policcm na kufuata wito lakni kwanini walikwenda kumteka?
 
Serikali mseto ni lazima this time. Rais CHADEMA, makamu CCM. Chama chenye wabunge wengi Waziri mkuu. So far somebody sio mgombea urais itapigwa katafunua moja matata sana.
Nimependa hii
 
Back
Top Bottom