PreGE2025 Askari waliofunika sura zao wanadaiwa kumfuatilia John Heche huko Mwanza, yadaiwa wanataka kumkamata

PreGE2025 Askari waliofunika sura zao wanadaiwa kumfuatilia John Heche huko Mwanza, yadaiwa wanataka kumkamata

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
duniani kote taasisi za majeshi wote huvaa hivyo kama ka utamaduni
Uongo huu,
Labda duniani ya Lumumba..

 
Uongo huu,
Labda duniani ya Lumumba..

Sasa hapa si Kenya yani habari ya Kenya ndo yakuihalalisha na Dunia nzima na nimekuwekea picha kabisa ili ufiche ujinga wako
 

Attachments

  • images (4).jpeg
    images (4).jpeg
    30.1 KB · Views: 17
  • download.jpeg
    download.jpeg
    7.1 KB · Views: 16
  • images (6).jpeg
    images (6).jpeg
    32.8 KB · Views: 17
  • images (8).jpeg
    images (8).jpeg
    11.9 KB · Views: 19
  • images (9).jpeg
    images (9).jpeg
    14.9 KB · Views: 19
  • images (10).jpeg
    images (10).jpeg
    46.6 KB · Views: 24
Sasa hapa si Kenya yani habari ya Kenya ndo yakuihalalisha na Dunia nzima
Wewe si umesema duniani kote, au Kenya ni mbinguni?

Na hapo nimekupa mfano mmoja tu.

Kuficha sura ni mambo ya magaidi.
Wanaojihami kushambuliwa hutumia vifaa vinavyoonyesha sura zao (TRANSPARENT face masks).
 
Kila siku huwa nasema ..kama Mungu amekupa uhai na afya njema na una watoto hakikisha wanapata elimu vizuri!
Maisha ya kuvalishwa matambala usoni namna hii ili usitambulike ukimdhuru mtu ambae hata humjui na hata hujui kosa lake ni laana kwenye ukoo.
..
 

Attachments

  • downloadfile-15.jpg
    downloadfile-15.jpg
    135.1 KB · Views: 17
Wewe si umesema duniani kote, au Kenya ni mbinguni?

Na hapo nimekupa mfano mmoja tu.

Kuficha sura ni mambo ya magaidi.
Wanaojihami kushambuliwa hutumia vifaa vinavyoonyesha sura zao (TRANSPARENT face masks).
Eti kuficha sura ni Ugaidi?? Hivi unajua kwa wenzetu hiyo mask ni sare mojawapo na ina kazi yake unalijua hiloo?
 
Back
Top Bottom