PreGE2025 Askari waliofunika sura zao wanadaiwa kumfuatilia John Heche huko Mwanza, yadaiwa wanataka kumkamata

PreGE2025 Askari waliofunika sura zao wanadaiwa kumfuatilia John Heche huko Mwanza, yadaiwa wanataka kumkamata

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwanini polisi wavae hivyo .
Kwa nini wafiche sura zao hivyo nitajie sababu moja tu.
Kama sijakosea

Mahakama ilishatoa agizo polisi wasivae mask
imekuwaje wanakaidi maagizo ya mahakama, wahusika watoe maelezo na ikiwezekana wawajibishwe kisheria
Asante sana mpiga picha kwa hii picha. Imenikumbusha picha za Gestapo wa Adolph Hitler walipokuwa wakipita usiku katika nyumba za watu na kuwakamata...kweli tumefika huku!
GqvpSqoWEAAA9pu.jpg
 
Baadae vilaza wa division IV watakuja kukanusha kuwa sio polisi waliomkamata na uchunguzi unaendelea.

Ahsante teknolojia kwa kuzidi kuwaumbua hawa vibaka wanaolipwa kwa pesa za walipakodi.

Na ndio maana tume ya CCM imeweka sheria ya kuzuia watu kuingia na simu kwenye chumba cha kuhesabia kura sababu CCM inaogopa aibu kama hizi.
 
Hao ni polisi ama majambazi?...Sasa polisi na mask za nini aise duh.
 
Bora hata mmewapiga picha za ukumbusho. Maana hao jamaa kwa kukana tu kuhusika na hayo matukio yao ya hovyo, hawajambo. Hao bila ya ushahidi watakuambia hawahusiki.
Watu Wapo Mbali Sana Wanajitahidi Kukusanya Ushahidi
Pictures Zinapelekwa Bunge La Ulaya Na US
 
Ingine useremala
walichonga msalaba wa kumsulubu YESU wakati yeye mwenyewe alikuwa fundi seremala
Wenzake walimsaliti
Ni vigumu kumkuta seremala ni tajiri labda tu awe anajihusisha na kuuza vitu vya fanicha
Hivi Ni kwa Nini?Hata fundi ujenzi ni hivyohivyo!
 
Damu gani tena si mlisema hakuna damu chini ya samia anaupiga mwingi niliwaonyeni kuhusu hekima ya kukisoma kifo cha jpm kutabiri mambo ya jayo ...niliwaambia kile kifo kama kina mikono ya watu basi hali ya nchi itakuwa mbaya zaidi walio husika awawezi kamwe kufanya makosa juu ya nafsi zao ....maana wanajua madhara yake ...
Mbona unaandika ujinga hata sikuelewi, unaleta habari ambazo hazinihusu, uliwaonya wakina nani na wewe kama nani, na una haki gani kutaka niandike kama unavyotaka wewe ?
 
MM NIPO HAPA, MBONA MNAZUA TAHARUKI MITANDAONI HIVO?
KWANI NI MARA YA KWANZA POLISI KUVAA HIVO?
DAAH KWA KWELI MBINU ZIKIISHA HUWA NI USANII UNABAKI
Majirani zetu wamefika hapo kwenye uhuru wa mahakama.

Tanganyika mahakama wamejengewa jengo mgeni rasmi katika uzinduzi ni mwenyekiti wa CCM na anawaambia wafuate maadili na kutii serikali [CCM] yaani kifupi mahakama iko kwenye pochi yake kama lipstick zake.

Askari kwanini avae mask na kuficha namba ya utambulisho anapotekeleza majukumu yake ya kisheria?

Huoni hapo ni nchi iko gizani na hakuna utawala wa sheria bali hisani za mwenyekiti?
images - 2025-05-12T154356.575.jpeg
 
Hivi Ni kwa Nini?Hata fundi ujenzi ni hivyohivyo!
Hawa sababu YESU alikataliwa asizaliwe ndani ya nyumba Masihi akazaliwa kwenye hori la ng'ombe kithungu wanasema Manger.Mungu akalaani hata wajenzi wa hiyo nyumba.
Ndio maana hakuna mradi wenye baraka kama ufugaji sio ng'ombe tu mifugo aina yeyote na ndio maana serikali nyingi duniani huwezi sikia kodi ya mifugo
 
Back
Top Bottom