Hawa ni kuwachapa risasi Tu, liwalo na liweAskari walioficha sura zao inadaiwa wanamfuatilia John Heche mchana huu huko MWANZA. Askari hawa wanatumia gari lenye USAJILI PT 4833.
Kwanini wavae hivi wakiwa kwenye gari za POLISI? wanajificha nini?
AiseeMzenji kanogewa na damu za Watanganyika
Amina.Sasa ni kafara?
Soon itawageukia wao, kama Mungu aishivyo, CCM watanyongana wao kwa wao kuanzia sasa hadi July hapo
Hapatakalika, Bwana wa Majeshi atayageuza mabaya waliyoyakusudia kwa wapinzani ambao ni watanzania na viumbe wake kuwa ubaya kwao
Trust me!
Wengine chekeni na kukebehi kama mlivyozowea
Kwani gentleman,Askari walioficha sura zao inadaiwa wanamfuatilia John Heche mchana huu huko MWANZA. Askari hawa wanatumia gari lenye USAJILI PT 4833.
Kwanini wavae hivi wakiwa kwenye gari za POLISI? wanajificha nini?

labada mseto wa malofa waropokaji waliopoteza uelekeo wa kisiasa gentlemanSerikali mseto ni lazima this time. Rais CHADEMA, makamu CCM. Chama chenye wabunge wengi Waziri mkuu. So far somebody sio mgombea urais itapigwa katafunua moja matata sana.

UBARUKIW SNMoja kati ya kazi za kipumbavu nilizowahi kufanya ni kuajiriwa na Jeshi la Polisi Tanzania,namshukuru Mungu nilikuja kuacha kwa hiari kwa kutoa notisi ya masaa 24
Askari walioficha sura zao inadaiwa wanamfuatilia John Heche mchana huu huko MWANZA. Askari hawa wanatumia gari lenye USAJILI PT 4833.
Kwanini wavae hivi wakiwa kwenye gari za POLISI? wanajificha nini?
lolote likitokea kifusi cha mawe kiwashukie,najua ni maadalizi ya 19/5 kesi ya lisu kwamba ccm wanakikisha heche anakuwa ndani,wakati lisu analetwa mahakamani. ccm bure kabisaaAskari walioficha sura zao inadaiwa wanamfuatilia John Heche mchana huu huko MWANZA. Askari hawa wanatumia gari lenye USAJILI PT 4833.
Kwanini wavae hivi wakiwa kwenye gari za POLISI? wanajificha nini?
Huenda ana ugonjwa wa akili na hakuna wa kustukaMzenji kanogewa na damu za Watanganyika
Wewe jamaa unanivunja mbavu '!Hawa sababu YESU alikataliwa asizaliwe ndani ya nyumba Masihi akazaliwa kwenye hori la ng'ombe kithungu wanasema Manger.Mungu akalaani hata wajenzi wa hiyo nyumba.
Ndio maana hakuna mradi wenye baraka kama ufugaji sio ng'ombe tu mifugo aina yeyote na ndio maana serikali nyingi duniani huwezi sikia kodi ya mifugo
huyo ambae sura inaonekana ndo atatuambia alikuwa na akina naniBora hata mmewapiga picha za ukumbusho. Maana hao jamaa kwa kukana tu kuhusika na hayo matukio yao ya hovyo, hawajambo. Hao bila ya ushahidi watakuambia hawahusiki.
Na wewe shusha Uzi "Wamefunika uso wa kikimbizia Korosho".Umejiaje wanafuatilia Heche? Acheni porojo za taharuki. Hata hapa mtwara mjini nilipo zimepita gari kama hizo na askari kama hao.
mazzombie midomo kama ya kambaleAsante sana mpiga picha kwa hii picha. Imenikumbusha picha za Gestapo wa Adolph Hitler walipokuwa wakipita usiku katika nyumba za watu na kuwakamata...kweli tumefika huku!View attachment 3331773
Tumkataeni huyu bibi anatupeleka pabaya.Askari walioficha sura zao inadaiwa wanamfuatilia John Heche mchana huu huko MWANZA. Askari hawa wanatumia gari lenye USAJILI PT 4833.
Kwanini wavae hivi wakiwa kwenye gari za POLISI? wanajificha nini?
Wanatengeneza fursa ya perdiemsPoliccm wanapokuwa kwenye shughuli zake kihalali kwa nini wajifiche nyuso zao. Hata lissu walikuwa wanauwezo wa kumwita policcm na kufuata wito lakni kwanini walikwenda kumteka?