Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Nchini Thailand vijana wa kiume wanaojihusisha na biashara ya ngono imekuwa kubwa mno kiasi cha kuhatarisha idadi ua wanaume rijali.
Vijana hawa hufanyiwa operation ya kubadilisha sehemu za siri. ( transgender) na kuwa wanawake jina maarufu lady boys
Wateja wao wakubwa ni raia wa western countries. Wenyewe huita Thailand Disney World ya wakubwa.