Thailand Idadi ya vijana wa kiume inapungua wengi wanakuwa transgender

Thailand Idadi ya vijana wa kiume inapungua wengi wanakuwa transgender

Nebda bangkok we sema jamani een nipelekeni nana plaza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Then lete mrejesho
 
View attachment 1120941

Nchini Thailand vijana wa kiume wanaojihusisha na biashara ya ngono imekuwa kubwa mno kiasi cha kuhatarisha idadi ua wanaume rijali.

Vijana hawa hufanyiwa operation ya kubadilisha sehemu za siri. ( transgender) na kuwa wanawake jina maarufu lady boys

Wateja wao wakubwa ni raia wa western countries. Wenyewe huita Thailand Disney World ya wakubwa.
Inasikitisha sana
 
Back
Top Bottom