3 Angels message
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 5,350
- 15,426
Nashukuru sana mkuu kwa kumjibu vyemaRafiki wewe jidanganye tu kuwa ni natural
vingine sio natural rafiki
Kwani miji ya Sodoma na Gomora
unadhani kuwa ni wenyeji waliwasha moto kwa kibiriti?
Ni Mungu ndiye aliamua kuwapa alichowapa kutokana na matendo yao yalivyokuwa mabaya
Yalikuwa ni chukizo mbele Yake
akawaangamiza kwa moto.
unajua moto ulivyoanza kuwaka?
Kasome hicho kisa!