Thailand Idadi ya vijana wa kiume inapungua wengi wanakuwa transgender

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011


Nchini Thailand vijana wa kiume wanaojihusisha na biashara ya ngono imekuwa kubwa mno kiasi cha kuhatarisha idadi ua wanaume rijali.

Vijana hawa hufanyiwa operation ya kubadilisha sehemu za siri. ( transgender) na kuwa wanawake jina maarufu lady boys

Wateja wao wakubwa ni raia wa western countries. Wenyewe huita Thailand Disney World ya wakubwa.
 
Rekebisha setup ya lugha kwenye simu yako tafdhali. Makosa ya typing yamezidi mno mkuu bila shaka umenunua simu mpya au ulimpa mtoto akachezea
 
Ebu tupiamo tupicha tujue ndo wapoje btw wakiisha waje kutukodi tukapige mzigo
 
Ni kweli.kule wapo wengi sanaa kuna kesi nyingi za wanaume kubakwa
Unaenda club unaona demu mkali unalewa kufika room anakumaliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…