Thailand imehalalisha rasmi ndoa za watu wa jinsia moja. Ni nchi ya kwanza Kusini-mashariki mwa Asia kuhalalisha ndoa za watu wa jinsia moja

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
20250123_123002.jpg

20250123_123539.jpg

Aisee,
Hata unakosa cha kuandika, upuuzi wa kiwango kilichopitiliza.

Screenshot_20250123-123359.png
 
Sawa lazima wakubali ili kupokea misaada kutoka mataifa yenye nguvu.kiufupi ushoga na usagaji hauwezi kuisha sababu ulikuwepo Toka enzi na enzi si swala la kushangaa sana
 
Inasikitisha
 
Kwa huko sio jambo la ajabu. Nchi nzima imejaa ladyboys.

Unaweza kuta demu mkali, ukiingia nae ana bonge la ndonga.
 
Hivi ile idadi kubwa kule ya wale ladyboyz wanazaliwa hivyo au wengine ni palstic surgery?
 
Hakuna wa kuzaliwa, ni plastic surgery.

Kuna documentary niliangalia kuhusu Thailand na mambo ya plastic surgery, kwao ni kitu cha kawaida na nafuu mno kufanya. Pia ni sehemu ya utamaduni wao.

Back
Top Bottom