Thailand imehalalisha rasmi ndoa za watu wa jinsia moja. Ni nchi ya kwanza Kusini-mashariki mwa Asia kuhalalisha ndoa za watu wa jinsia moja

Thailand imehalalisha rasmi ndoa za watu wa jinsia moja. Ni nchi ya kwanza Kusini-mashariki mwa Asia kuhalalisha ndoa za watu wa jinsia moja

Thailand wanawake na wanaume wote wanafanana. Kwa hiyo hakuna shida. Hiyo nchi hakuna wanaume
 
Ujue ni kitu ambacho kimeshindikana kwa sababu kimeingia hadi kwa viongozi
Kiko everywhere sasa..na kubwa zaidi hii ni big agenda globally. Wanajua ni kwq namna gani hawa watu hawatakua productive tena.
Over a period of time,
Kwa Ndoa ya kawaida
1+1=+ve change
Ila kwa hawa wenzetu
1+1=0
 
Dunia itabaki hakuna kitu😅 ila naonaga kama wakichoka wanarudi kawaida
 
hapo unakuta ni harakati za karne nyingi kupambania hiyo haki

sema lgbtq inanishangaza jinsi ambavyo haisemi itawezaje kuishi na jamii zingine bila madhara yeyote
 
No institution can be better than its people,the type of people in a certain Org define that Org
 
Back
Top Bottom