Thamani (Value) ya Kombe la CAF Champion v/s CAF Confederation

Shakir

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2012
Posts
1,627
Reaction score
1,926
Kwema Wakuu,

Kuna haya Makombe mawili ya Africa baadhi ya Watu wanayachanganya. Yaani wanashindwa kujua value ya Kombe flani kwa level fulan ni ipi.

Sasa hapa natumia common measurement ya value in term of zawadi watakazopata washiriki kulinganisha Ili ujue Timu yako iko katika thamani ipi.
IMG-20230430-WA0011.jpg

IMG-20230430-WA0010.jpg
 
Kwema Wakuu,

Kuna haya Makombe mawili ya Africa baadhi ya Watu wanayachanganya. Yaani wanashindwa kujua value ya Kombe flani kwa level fulan ni ipi.

Sasa hapa natumia common measurement ya value in term of zawadi watakazopata washiriki kulinganisha Ili ujue Timu yako iko katika thamani ipi.
View attachment 2605473
View attachment 2605474
YANGA WATABISHA TU
 
Tukusadieje mbona malalamiko mengi?
 
Wana simba tuache upumbavu, tukubali Yanga wametuzidi maana hata sisi tulikuwa kwenye mashindano hayo hayo msimu ulopita hatukufika popote pale walipofika wao.

Hizo pesa hata robo ya bajeti haziwezi saidia.

Mashindano ni ufahari na sio swala la pesa maana mashabiki hatuzioni hizo pesa.

Tukubali Yanga wamesogea kuliko sisi, haijalishi ni shindano lipi, wamesonga sisi tumetolewa.

Mfano Mzuri Man City anasubiria kushinda Champions League ili naye aonekane ni bingwa na sio swala la pesa.
 
Umetumia akili kuandika, sio ushabiki wa yanga vs simba.
 
Back
Top Bottom