HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Simba tumefanya makosaUmetumia akili kuandika, sio ushabiki wa yanga vs simba.
Mechi ya Dsm tulitakiwa kuimaliza mapema, kocha akawaelekeza wachezaji wacheleweshe mipira ikitoka.
Mpira unatoka unaona Kapombe anatembea kama hataki, sekunde zinakatika...
Kocha akachelewa fanya sub, alipofanya akaweka mabeki
Tumeenda Moroco mchezo ukawa huo huo
Wachezaji hawajitumi kushambulia wao wanazuia tu huku wakijua fika ni wabovu kwenye penati.
Afu eti tumetoka kiume, huo ni upumbavu na wenda wazimu