YANGA WATABISHA TUKwema Wakuu,
Kuna haya Makombe mawili ya Africa baadhi ya Watu wanayachanganya. Yaani wanashindwa kujua value ya Kombe flani kwa level fulan ni ipi.
Sasa hapa natumia common measurement ya value in term of zawadi watakazopata washiriki kulinganisha Ili ujue Timu yako iko katika thamani ipi.
View attachment 2605473
View attachment 2605474
Na atakaeishia nusu fainali Confederation bado hamfikii alieishia Robo ChampionshipKifupi atakayechukua kombe la CAF confederation cup atakuwa kazidi aliyeishia robo fainali CAF champions league kwa kila kitu
Kuna value ingine tofauti na monetary labda tunayoweza kuitumia hapa?Monetary value, mtateseka sana sana sana.
Simba amepata nini ,YANGA WATABISHA TU
Ooh sorry kwa hizo typing error 😑😑 niko too sleepyNi confederation cup madam!!
Pole, Dar Young Africans tupo kwenye confederation cup!!Ooh sorry kwa hizo typing error 😑😑 niko too sleepy
ShukraniChampions league walikuwa Simba(Kolo fc) na wameshatolewa..
Tukusadieje mbona malalamiko mengi?Kwema Wakuu,
Kuna haya Makombe mawili ya Africa baadhi ya Watu wanayachanganya. Yaani wanashindwa kujua value ya Kombe flani kwa level fulan ni ipi.
Sasa hapa natumia common measurement ya value in term of zawadi watakazopata washiriki kulinganisha Ili ujue Timu yako iko katika thamani ipi.
View attachment 2605473
View attachment 2605474
Kwahiyo unawambia nini waliofika nusu au una wapasha si lolote wala chochote?Na atakaeishia nusu fainali Confederation bado hamfikii alieishia Robo Championship
Umetumia akili kuandika, sio ushabiki wa yanga vs simba.Wana simba tuache upumbavu, tukubali Yanga wametuzidi maana hata sisi tulikuwa kwenye mashindano hayo hayo msimu ulopita hatukufika popote pale walipofika wao.
Hizo pesa hata robo ya bajeti haziwezi saidia.
Mashindano ni ufahari na sio swala la pesa maana mashabiki hatuzioni hizo pesa.
Tukubali Yanga wamesogea kuliko sisi, haijalishi ni shindano lipi, wamesonga sisi tumetolewa.
Mfano Mzuri Man City anasubiria kushinda Champions League ili naye aonekane ni bingwa na sio swala la pesa.