Thamani (Value) ya Kombe la CAF Champion v/s CAF Confederation

[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
3rd in group CL anakula pesa ndefu kuliko Semi finalist wa CC????

mmmmhhhhhh...............

3rd group stage wa championship analamba $550k


Semi finalists wa Mbuzi Cup analamba $450k
 
Hivi mnavyosema kombe la shirikisho lina hadhi ya chini mnajifyetua akili au..

Maana bigwa wa ushirikisho atakutana na bigwa wa champion then mshindi ndio anahesabika bigwa wa africa sasa hapo inakuwaje hii..
Kwa hiyo ligi kuu ni sawa na ligi daraja la kwanza? Kweli ww ni utopolo.
 
Swadaktaaa,

By the way tulishawashindanisha kwenye michuano ya aina moja hapo awali mmoja aka prove ni maji mazito kwake akasanda.
 
Nina uhakika ata ikitokea yanga akaleta hili kombe la shirikisho bado mashabiki wa simba wataamini wao wamenufaika sana kwa kuishia robo final kwenye championship
 
Nina uhakika ata ikitokea yanga akaleta hili kombe la shirikisho bado mashabiki wa simba wataamini wao wamenufaika sana kwa kuishia robo final kwenye championship
Hayo ni yajayo ambayo hatuyajui,
Ramli chonganishi hiyo
 
Je tulipokuwa kwenye shirikisho kilichosababisha tusifike Nusu ni kipi, maana msimu ulopita tulikuwa Shirikisho.

Tuache visingizio

Kocha na wachezaji walitumia muda mwingi kupoteza mpira na muda badala ya kucheza na kushambulia
 
Wamesogea kwenda wapi?
Kwani hawakushiriki CL, kwanini hawakuingia makundi?
Shirikisho Simba tumezidiwa na Yanga.
Makombe ni ufahari, kwenye kabati watu wamaangalia makombe
Wakiuliza makombe ya kimataifa haijalishi lipi
 
Hujaelewa, je Man city Atakubali kutolewa champions league ili akashiriki Europa?

Je Man city Akishinda Europa atajitapa?
Mwajuma elewa kuwa Man City anawinda apate kombe lolote la kimataifa haijalishi ni Europa, Eufa, Conference
 
SIMBA LIGI YA MABINGWA CAFCL AMEPATA BILIONI 1.5
BILIONI MOJA NA MILIONI MIA TANO.

SUPER LEAGUE BILIONI 4 ZA MAANDALIZI.


YANGA MBAKA SASA ANA MILIONI 800 TU
Kwamba wakihesabu medali watahesabu na pesa?
 
Kimataifa
Yanga kafanikiwa kuliko Simba msimu huu
 
Usilaumu wachezaji pale ndio uwezo wao ulipoishia.

Simba kama inataka kufika mbali zaidi kwa mashindano ya kimataifa basi usajili wa maana unahitajika.
Kwa macho nimeshuhudia wakipoteza muda,
 
Tuachana na maswala ya kipumbavu kushabikia ujinga wakati wenzetu wamesonga mbele, kitu ambacho hata mwekezaji atapata mapato kupitia kuuza jezi
Huwezi ukashabikia
 
Tuachana na maswala ya kipumbavu kushabikia ujinga wakati wenzetu wamesonga mbele, kitu ambacho hata mwekezaji atapata mapato kupitia kuuza jezi
Huwezi kukosa Cha kushangilia. Kuna level ukifika kukosa kombe sio ajabu sana
 
Mtaani hakuna tena kelele kimya Kama vile mtoto amechapwa viboko akaambiwa nyamaza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…