Thamani ya Maisha ni furaha,sio pesa au kitu chochote.

Thamani ya Maisha ni furaha,sio pesa au kitu chochote.

Yeah haswa ukiwa una pesa za kula na kujenga kidogo, za kusave kidogo hapo unaweza sema utajiri wa bill gates wa Nini!, lakini kama huna hata mia mfukoni hata ya kula mihogo inakusumbua my friend kwanza utamuona Kila mtu barabarani kama anakuzomea hivi, utatamani uwe mvuta bangi lakini hautokuwa.
 
Back
Top Bottom