Thamani ya maneno POLE na SAMAHANI katika Mahusiano

Amuache Mdada Amesha choka nafsi Yake, kama rafiki yako hajiwezi arudi kuomba msamaha ili yaishe. Kosa akosewe Yeye msamaha aombe yeye Majanga...
 
Kwa hiyo amteme huyo bidada si ndio unacho maanisha?ila kama hajiwezi arudi aombe msamaha....mmmmmmh
 
Atamtemaje wakati yeye ndo kashatemwa tayari!???

Hata kama nampenda namna gani, akileta dharau na mapenz Quisheney. (Shukrani kwa mpenz wangu wa kwanza kwa kuniturn niwe hivi)
 
Kweli mkuu,hapo ni kutafuta mbadala tu au vipi mkuuu?
 
Mchizi hoi akawa mpole akamwambia basi siku ukiwa na vocha nitafute,msichana akasema sitakuwa nazo mpaka mwakani.

duh kazi ipo....
1st January 2016

1st January 2016 is on Friday, 1 January 2016 ,324Days 5Hours 33 Minutes 39Seconds to go
 
Mwambie aachane nae tena haraka, mapenzi ya mwanaume kulia lia mwisho Shinyanga kwa akina Shy land.
Mjini wanaume misamaha yao inashia kwenye kutafuta pesa ambayo baadae ndio huwa fimbo yakuwatulizia wanaowasumbua bhana.
 
Last edited by a moderator:
Kadhalika nanyi wake watiini waume zenu;kusudi ikiwa wako wasioliamini Neno wavutwe kwa mwenendo wa wake zao pasipo lile Neno wakiutazama mwenendo wenu safi na wa hofu(1Petro 3:1-2).
Usiwape wanawake nguvu zako,wala moyo wako usiwape wawaharibuo wafalme(Mithali 31:3)
Upendeleo hudanganya,na uzuri ni ubatili,Bali mwanamke amchaye BWANA ndie atakaesifiwa(Mithali 31:30)
Kama Pete ya dhahabu katika pua ya nguruwe,kadhalika mwanamke mzuri asiye na akili(Mithali 11:22)
Mwanamke mwema ni taji ya mumewe.Bali aaibishaye ni Kama kuoza mifupani mwake(Mithali 12:4)
Mkuu hapo amua tu kujitafakari na kuchukua hatua mistari hii ikusaidie pa kuanzia pia nawe tafuta mingine uitafakari pia.
Kingine Fanya kazi upate pesa,maana hiyo ni jawabu la mambo yote Kama ilivyoandikwa kwenye Mhubiri 10:19(karamu hufanywa kwa ajili ya kicheko,na divai huyafurahisha maisha,na fedha huleta jawabu la mambo yote)
 
Hapa jawabu ni kusaka pesa mapenzi baadae sana.....ushauri mzuri sana mkuu,sir God akubariki
 
Mwambie aachane nae tena haraka, mapenzi ya mwanaume kulia lia mwisho Shinyanga kwa akina Shy land.
Mjini wanaume misamaha yao inashia kwenye kutafuta pesa ambayo baadae ndio huwa fimbo yakuwatulizia wanaowasumbua bhana.
Ndio mkuu hata mie memeambia aachane nae wala asitafute suruhu....vipi akijirudi msichana amsamehe au amlie kavuu tu?
 
Mkuu uko viziri safi.
Kadhalika nanyi wake watiini waume zenu;kusudi ikiwa wako wasioliamini Neno wavutwe kwa mwenendo wa wake zao pasipo lile Neno wakiutazama mwenendo wenu safi na wa hofu(1Petro 3:1-2).
Usiwape wanawake nguvu zako,wala moyo wako usiwape wawaharibuo wafalme(Mithali 31:3)
Upendeleo hudanganya,na uzuri ni ubatili,Bali mwanamke amchaye BWANA ndie atakaesifiwa(Mithali 31:30)
Kama Pete ya dhahabu katika pua ya nguruwe,kadhalika mwanamke mzuri asiye na akili(Mithali 11:22)
Mwanamke mwema ni taji ya mumewe.Bali aaibishaye ni Kama kuoza mifupani mwake(Mithali 12:4)
Mkuu hapo amua tu kujitafakari na kuchukua hatua mistari hii ikusaidie pa kuanzia pia nawe tafuta mingine uitafakari pia.
Kingine Fanya kazi upate pesa,maana hiyo ni jawabu la mambo yote Kama ilivyoandikwa kwenye Mhubiri 10:19(karamu hufanywa kwa ajili ya kicheko,na divai huyafurahisha maisha,na fedha huleta jawabu la mambo yote)
 
Ndio mkuu hata mie memeambia aachane nae wala asitafute suruhu....vipi akijirudi msichana amsamehe au amlie kavuu tu?

Hayo atangalia mwenyewe, labda akajirekebisha. ogopa sana mwanamke anayependa kumpanda mwanaume kichani.
 
Back
Top Bottom