Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Ni kaaaaaziiii kubwaaa hiiii ila ni tiba ya mapenziJust look at her/him on his face and say IM SORRY HONEY
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kaaaaaziiii kubwaaa hiiii ila ni tiba ya mapenziJust look at her/him on his face and say IM SORRY HONEY
![]()
![]()
![]()
Ladies, kwako mume/mpenzi wako anapokukosea una-prefer aombe samahani ya aina gani?
Ipi unadhani ni ya dhati?
Anyamaze kimya ila ajaribu kuku-WIN kwa kukununulia zawadi na kukufanyia vitu vizuri ambavyo alikuwa hafanyi mwanzo mf. Kukutoa out, kukusaidia vikazi vidogo vidogo nyumbani, kujali hisia zako na mahitaji yako binafsi, kuwahi kurudi nyumbani, kukushirikisha mambo yake n.k
Au kukuambia SAMAHANI, NILIKUKOSEA, HAITOTOKEA TENA halafu basi?
Wakaka/wababa huwa mnamaanisha nini pale mnapogoma kusema samahani na badala yake kuanza kumwaga mazawadi na pesa kwa wenzi wenu?
![]()
![]()
![]()
Ladies, kwako mume/mpenzi wako anapokukosea una-prefer aombe samahani ya aina gani?
Ipi unadhani ni ya dhati?
Anyamaze kimya ila ajaribu kuku-WIN kwa kukununulia zawadi na kukufanyia vitu vizuri ambavyo alikuwa hafanyi mwanzo mf. Kukutoa out, kukusaidia vikazi vidogo vidogo nyumbani, kujali hisia zako na mahitaji yako binafsi, kuwahi kurudi nyumbani, kukushirikisha mambo yake n.k
Au kukuambia SAMAHANI, NILIKUKOSEA, HAITOTOKEA TENA halafu basi?
Wakaka/wababa huwa mnamaanisha nini pale mnapogoma kusema samahani na badala yake kuanza kumwaga mazawadi na pesa kwa wenzi wenu?
Mimi kwa kweli ..siko hivyoNaamini kabisa toka moyoni kua kusema SAMAHANI kwa m2 yeyote ni nguzo muhmu sn,but mbona kwa wanamme wanakua wagumu??why?!
shemeji yangu mimi alo muoa dada yangu huwa mkewe akimwambia naumwa kwanza anamuangalia, afu anakaa kimya baadae mkewe akimwambia tena baba fulani me naumwa, utasikia si uende hospital kwani me dokta!
Indeedhata iweje jua kwamba kuombwa msamaha kwa namna yoyote kila mara inaboa na inaharibu mahusiano. msamaha wa kuombwa kila mara hauna maana yoyote. lengo la msamaha ni mtu ajirekebishe na muishi kwa furaha. mahusiano ya kuombana ombana msamaha huwa hayana furaha na hayadumu.
Hapo hakuna mwenye makosa ila shida ni kupenda usipopendwa. Mtu akisema hatakuwa na vocha mpaka mwakani anamaanisha sikutaki usinipigie tena simu.Poleni wadau wa MMU,
Ukweli neno samahani ni dogo sana ila ni gumu sana kulitamka kwa mwenzio kwa kuhisi labda atakuzarau au kujihisi heshima yako itapungua,neno hili huwa ni gumu sana kulitamka kwa watu wazima hususani baba, mama au mtu yeyote alie kuzidi umri sijui kwanini huwa gumu na wakati anamakosa kweli.
Narudi kwa upande wa wapenzi,huku nako pia ni ligumu kulitumia neno hili hususani sisi wanaume,ila sio wote hata wenzetu nao pia huwa wagumu kuomba msamaha kama kakosa tena kama kashakuchoka ndo utajuta kabisa kumfamu.
Mfano mzuri ni rafiki yangu na mpenzi wake wamechuniana kisa tu msichana kashindwa kumuomba mshikaji msamaha,kosa lenyewe liko hivi jamaa kampigia msichana simu mida ya saa saba hivi, kumjulia hali lakini simu ilikuwa inaita pasipo kupokewa.
Akajaribu mara kibao lakini holla,ikabidi jamaa amsikilizie kwa sababu atakuta missed call lakini msichana kawa kimya,akampigia tena saa kumi nayo kimya,ikabidi jamaa akae kimya maybe ipo chaji cha ajabu mpaka siku inaisha msichana hakumpigia simu mshikaji.
Kesho yake jamaa akampigia simu saa nne asubuhi ikapokelewa ikabidi amuulize vizuri tu,cha ajabu tena eti msichana anamjibu simpo tu mshikaji ,eti hakuwa na vocha,jamaa akamwambia basi si ungenitumia hata tafazali nipigie, msichana kawaka amkamjibu hivi,nimekwambia sikuwa na vocha.
Hunielewi jamaaa akashangaa sana iweje msichana awe ndiyo mkali wa kumkaripia mchizi ili hali.yeye ndo mwenye makosa ikabidi jamaa amulize mbona unanijibu hivo,msichana akamwambia ulitaka nikujibu vipi.
Mchizi hoi akawa mpole akamwambia basi siku ukiwa na vocha nitafute,msichana akasema sitakuwa nazo mpaka mwakani.
Sasa wadau hapo nani mwenye makosa,maana mpaka sasa hivi watu hawaongei kila mtu anajua yeye yuko sahihi.Je jamaa aendelee kuwa kimya au amtafute na akimtafuta aanzeje kuomba msamaha.
Karibuni.
wajeur sana kina kaka sisi,ila inapaswa ka mtu anayejielewa kuomba msamaha bila hata kuambiwaNaamini kabisa toka moyoni kua kusema SAMAHANI kwa m2 yeyote ni nguzo muhmu sn,but mbona kwa wanamme wanakua wagumu??why?!
Sema samahani za kibongo ni za mashaka sana ! inategemea uko wapi , mbagala , buguruni , kigogo , tandika , mikocheni au masakiNaamini kabisa toka moyoni kua kusema SAMAHANI kwa m2 yeyote ni nguzo muhmu sn,but mbona kwa wanamme wanakua wagumu??why?!
🤣🤣🤣🤣🤣😃 basi we utakuwa umechosha kweli kweli.Mimi wa kwangu alishasema amenichoka na samahani zangu za kila siku.........kwa hiyo nikikosea napiga kimya baada ya siku chache tunarudi kwenye mstari..hii ni kwa mke na mchepuko pia wote wameshanichoka na samahani zangu
kamwe sitakaa kulitamka hili neno!HAITOTOKEA TENA
Pale inapohitajika, Kwa hiyo kama binti hujapewa samahani na kidume chako ujue muda haujafika. Mwanamke ukiwa soft and tender, utazipata nyingi tu. Ukileta ushindani samahani utazisikia JF tu, nani anatoa samahani Kwa mwanamke anayebishana nae kwenye kila kitu, mpaka mbele za watu, mwanamke haujawahi kujishusha hata Mara moja?Ni wangapi umewakosea hawasemi samahani? Umetoa general conclusion kwa wanaume ni ngumu siyo kweli labda huyo wako tu. Nitasema samahani pale napoona inahitajika!
Pale inapohitajika, Kwa hiyo kama binti hujapewa samahani na kidume chako ujue muda haujafika. Mwanamke ukiwa soft and tender, utazipata nyingi tu. Ukileta ushindani samahani utazisikia JF tu, nani anatoa samahani Kwa mwanamke anayebishana nae kwenye kila kitu, mpaka mbele za watu, mwanamke haujawahi kujishusha hata Mara moja?