maliyamtu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2017
- 2,137
- 3,874
Mi unafikiri hata napata nae shida mkuu waaala sipati nae tabu,,Hutu wangu anaomba radhi kwa ishara tu na anakubali kosa kwa kukaa kimya huwa hajibu kitu kama amekosea baas,,na akishajua amekosea chochote unachoomba utapewa hata usichoombakritika maliyamtu Wengine hawaombi msamaha si kwamba ni wajeuri au wana kiburi, La hasha!
Kipo kitu ndani ya maumbile yao, Someni saikolojia yao. Katika yale makundi manne, muwatambue wako makundi yapi na faida zake na madhaifu yake pia.
Mnapotaka madume, mkumbuke pia kuna tofauti kati ya neno, "Behaviour" na "CHARACTER"
NOTE: Wako wanaokubali kwa ishara kwamba wamekosa lakini hawatamki kwa mdomo, mfano ni kajike nilikowahi kuwa nako, kalikuwa kanakubali kamekosa ila akaombi msamaha.