Thamani ya maneno POLE na SAMAHANI katika Mahusiano

Thamani ya maneno POLE na SAMAHANI katika Mahusiano

Mwanaume kwa siku anatongoza wanawake 5 mpaka 10.
Mwanamke anaweza kukaa siku nzima hata kusalimiwa hapati. Sasa unataka mwanaume aombe msamaha wakati wewe humo hata kwenye top 10 yake. 😀😀
 
Unalikuta jitu umelikuta na makosa kibao ambao kiuhalisia unatakiwa kuliacha na kulipiga chini mazima laikini unasema ngoja kwanza nilipe nafasi nyingine kama litakuja kuomba msamaha,jitu linakuja kichwa kichwa halijui hata liombeje msamaha yani limebung'aa

Kuna stages na steps za kuomba msamaha ukiruka hata moja tu msamaha utausikia kwa wenzio tu

Kuwa mjinga kubali hujui ili ujifunze
Punguza hasira nini......naona Mtu unaandika Jitu....kama kuomba msamaha ni rahisi jiombe mwenyewe!
 
Unalikuta jitu umelikuta na makosa kibao ambao kiuhalisia unatakiwa kuliacha na kulipiga chini mazima laikini unasema ngoja kwanza nilipe nafasi nyingine kama litakuja kuomba msamaha,jitu linakuja kichwa kichwa halijui hata liombeje msamaha yani limebung'aa

Kuna stages na steps za kuomba msamaha ukiruka hata moja tu msamaha utausikia kwa wenzio tu

Kuwa mjinga kubali hujui ili ujifunze
Wanaume huwa hatuombii msamaha. Ukiomba msamaha mwanamke atakudharau sana tena sana. Hata km mkeo akikufumania na mwanamke ww kaa kimya.
Mm siombi msamaha hata iweje.
 
Chukua Wazungu si umeona Shemeji yetu Lowrey wa Mange aliomba Msamaha walivyogombana?
 
Kule kwetu tarime.. Mwanaume ukigundulika umemwomba msamaha mwananke. Unatengwa.
 
Unalikuta jitu umelikuta na makosa kibao ambao kiuhalisia unatakiwa kuliacha na kulipiga chini mazima laikini unasema ngoja kwanza nilipe nafasi nyingine kama litakuja kuomba msamaha,jitu linakuja kichwa kichwa halijui hata liombeje msamaha yani limebung'aa

Kuna stages na steps za kuomba msamaha ukiruka hata moja tu msamaha utausikia kwa wenzio tu

Kuwa mjinga kubali hujui ili ujifunze
Tatizo na nyie wanawake wa ki TZ mko dependent sana hadi mtu anawachukulia easy..
Unakuta binti umemgharamia kila kitu kuanzia kucha hadi nywele + usafili na simu anayotumia bila kusahau vocha..

Sasa ukimkosea unaanzaje kuwa serious na misamaha wakati unajua hawezi kwenda popote na hata akienda unatafuta mwingine easy tu..

Mkiacha hui uomba omba labda tutajifunza kuomba msamaha
 
asante, nina mastres yangu nimetoka kununua samaki wa kukaanga nikatia kwenye mfuko asaiv natoa nile kumbe mshenz yule kaniwekea mbichi, asaiv nipo nakodoleana macho na lijikambale hapa na misharub yake, nimemaind kinyama asubuh nampelekea shombo yake. Bongo maisha magumu ila kuna mijitu inazd kuchochea, nakula mkate na uji.

Hahahahaha!
Aisee thank you. Maisha magumu but u made my day
 
Mimi huwa naomba msamaha na sjawahi kuona kama ni weakness, isipokuwa nione kabisa dhahiri makosa yangu. kuomba msamaha hakunifanyi a lesser man. Bali kuna nifanya a respinsible man
Ndio maana nakuelewa sana rafiki [emoji4][emoji4]
 
Unaleta mada za kufikisha ujumbe,lakini tatizo lako
1. Unapenda mafumbo ambayo hiyo ni hulka ya kishamba kama mtu kakuboa mfate mchane live sio JF huku
2.Jitahidi kuepuka kufanya "GENERALIZATION" maana kila thread wewe wanaume,wanaume,wanaume haitokaa ikakusaidia na
3.Mambo mengine unamaliza kiutu uzima usipende kujianika kila kitu chako usidhani watu wote wanaokusifia wanakupenda wengine wanakuchora tu.
 
Back
Top Bottom