Thamani ya maneno POLE na SAMAHANI katika Mahusiano

Thamani ya maneno POLE na SAMAHANI katika Mahusiano

Mie huwa siombi msamaha ila naanda mazingira tu ya kuila papuchi yake na tukimaliza tayari tunakuwa tumesamehana
 
Hahahaaaa Mimi mpnz wangu akitaka tununiane labda nimefanya kosa. Ni asinipe nafasi ya kujitetea. Akilogwa akanipa tuu ugomvi lazima uishe
hahaha kwa maneno haya sipati picha..
 
Habari zenu wanandugu,

Kwa namna moja ama nyingine, kwa bahati mbaya au makusudi tunawakosea tunaowapenda haswa wenza.

Je ni maneno gani unatumia kumfanya ajisikie vizuri tena? Je kuna lugha nzuri ya kumfanya mpenzi asahau ulichomkosea akakusamehe?

Karibuni tubadilishane maneno hayo.
Huwaga kwanza najifanya Sijali kama nimemkosea, namchamgamkia huku najua kakasirika. Namsogelea namshika popote pale.akionesha kukasirika au kuwaka,nakua mpole,afu namwangalia direct kwa upole na tabasam, namwambia,"inamaana umekasirika kweli honey.. Basi nsamehe mke wangu, sipendi kukuona ukiwa hivyo...."
Akiongea tu jambo ili mujibu basi kaisha.na huwa sisubiri Aseme nimekusamehe ndio nijue nimesamehewa.najiongezaga tu mwenyewe kuwa hili kushusha.
Wakati huo huo kihasira chake bado cha moto moto ntamchekechachekecha mpaka mpaka ajae nipige show.tena shoo ya kuombea msamaha. Sio ya kitoto.ataongea yote wakati wa show Baada yapo kimyaaa, hakuna cha hasira wala nini. Zaidi ndo napewa pole nakuanza kupepewa. Kila ntakachoongea,anajibu ndio.

Kupaform wakati mwenzio anahasira na wewe, show show huwa inakua tamu sana asee.wenyewe wanajua

Nina mbinu nyingi za kumshusha akipanda. Ila huwa nazikamilisha kwa shoo za papo kwa papo, kabla hajapoa!
 
Unalikuta jitu umelikuta na makosa kibao ambao kiuhalisia unatakiwa kuliacha na kulipiga chini mazima laikini unasema ngoja kwanza nilipe nafasi nyingine kama litakuja kuomba msamaha,jitu linakuja kichwa kichwa halijui hata liombeje msamaha yani limebung'aa

Kuna stages na steps za kuomba msamaha ukiruka hata moja tu msamaha utausikia kwa wenzio tu

Kuwa mjinga kubali hujui ili ujifunze
 
Msg sent? [emoji144] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji144] [emoji144]
 
Unalikuta jitu umelikuta na makosa kibao ambao kiuhalisia unatakiwa kuliacha na kulipiga chini mazima laikini unasema ngoja kwanza nilipe nafasi nyingine kama litakuja kuomba msamaha,jitu linakuja kichwa kichwa halijui hata liombeje msamaha yani limebung'aa

Kuna stages na steps za kuomba msamaha ukiruka hata moja tu msamaha utausikia kwa wenzio tu

Kuwa mjinga kubali hujui ili ujifunze

Aisee hapo labda ni kweli hata mimi sijui, embu nipe darasa basi jinsi ya kuomba msamaha!
 
asante, nina mastres yangu nimetoka kununua samaki wa kukaanga nikatia kwenye mfuko asaiv natoa nile kumbe mshenz yule kaniwekea mbichi, asaiv nipo nakodoleana macho na lijikambale hapa na misharub yake halaf limenikenulia huku limekufa sijui linajiamin nini, nimemaind kinyama asubuh nampelekea shombo yake. Bongo maisha magumu ila kuna mijitu inazd kuchochea, nipo nakula mkate na uji. Poa tu
 
Unalikuta jitu umelikuta na makosa kibao ambao kiuhalisia unatakiwa kuliacha na kulipiga chini mazima laikini unasema ngoja kwanza nilipe nafasi nyingine kama litakuja kuomba msamaha,jitu linakuja kichwa kichwa halijui hata liombeje msamaha yani limebung'aa

Kuna stages na steps za kuomba msamaha ukiruka hata moja tu msamaha utausikia kwa wenzio tu

Kuwa mjinga kubali hujui ili ujifunze
Kwa zama hizi
Utegemee msamaha kutoka kwa mwanaume tena kwa hatua ulizozipanga wewe, sahau aseee
 
Unalikuta jitu umelikuta na makosa kibao ambao kiuhalisia unatakiwa kuliacha na kulipiga chini mazima laikini unasema ngoja kwanza nilipe nafasi nyingine kama litakuja kuomba msamaha,jitu linakuja kichwa kichwa halijui hata liombeje msamaha yani limebung'aa

Kuna stages na steps za kuomba msamaha ukiruka hata moja tu msamaha utausikia kwa wenzio tu

Kuwa mjinga kubali hujui ili ujifunze
Sometimes ni kumchana mkweli kumfundisha aombeje. Alaf si wanaume wote, ww kama umekutana na watu wa hovyo huko ambao hawajui kuomba msamaha hiyo ni ww, usijumuishe wote kisa boy wako ajui. Wapo ambao ni expert..
 
Nakumbuka nimewahi kuomba msamaha kwa mwenza wangu mama watoto mara moja pekee, na hii ilikuwa hakuna namna ushahidi wote ulikuwepo hivyo nikaomba kwa shingo upande sana hata yeye hakuamini kama ni akili zangu au nililewa.

Ila kama ni mahusiano ya mapenzi sio mke hata ukinikuta na mwanamke kitandani siombi msamaha.
 
Dah...kuomba msamaha kwa mwanaume ni udhaifu usiotimilika...kuomba msamaha ni kukiri kosa....kufanya kosa ni ujinga mkubwa....mwanaume gani anataka kuwa mjinga?...mwanamke gani anapenda kuwa na mwanaume mjinga?...
 
Back
Top Bottom