Thamani ya maneno POLE na SAMAHANI katika Mahusiano

"Mume wangu/ mpnzi unajua ni jinsi gani nakupenda, na hata katika hali gani siwezi kukubali kukupoteza, nakupenda hadi shetani anaona wivu ndiyo maana analeta majaribu, amini kile nikuambiacho hata kwa kilichotokea binafsi kinaniumiza ila Nina Furaha maana shetani hatofanikiwa"
Basi atakuelewa
Kwa hapa hata ulikuwa na hasira lazima utabasamu..
 
"Mume wangu/ mpnzi unajua ni jinsi gani nakupenda, na hata katika hali gani siwezi kukubali kukupoteza, nakupenda hadi shetani anaona wivu ndiyo maana analeta majaribu, amini kile nikuambiacho hata kwa kilichotokea binafsi kinaniumiza ila Nina Furaha maana shetani hatofanikiwa"
Basi atakuelewa
Watu na talent zao[emoji41]
 
Never Seen This. I Got Goosebumps All Over My Body
 
Woooh..!,maneno matamu sana haya,,lazima niyachukue ili siku ikitokea nimemkwaza Mama watoto basi nimtulize nayo.!
Yaandike pembeni,hata kama MB huna hutokuwa na haja ya kuja kuchungulia jf. Unaenda na kikaratas chako unakuwa unakisoma huku umepiga magoti[emoji2] [emoji2] [emoji2] ,mapenz bhan
 
Back
Top Bottom