Ntalukwilasa
JF-Expert Member
- Jun 24, 2017
- 979
- 1,256
Kwa hapa hata ulikuwa na hasira lazima utabasamu.."Mume wangu/ mpnzi unajua ni jinsi gani nakupenda, na hata katika hali gani siwezi kukubali kukupoteza, nakupenda hadi shetani anaona wivu ndiyo maana analeta majaribu, amini kile nikuambiacho hata kwa kilichotokea binafsi kinaniumiza ila Nina Furaha maana shetani hatofanikiwa"
Basi atakuelewa