Thamani ya maneno POLE na SAMAHANI katika Mahusiano

Thamani ya maneno POLE na SAMAHANI katika Mahusiano

Yaishe dear,
Zawaidi ile ya ambayo ndo udhaifu wake,
Sio mm ilikuwa ndovu tu dear,
Niliteleza baby,
Acha nayo hayo ni kawaida kwa binadamu wote my sweetheart,
Sahau bac honey,

ila kusema nisamehe sahau
Neno nisamehe kwa mwanamke kwangu marufuku!
why bro unakua mgumu hadi kwenye love
 
Hakuna maneno yatakayofaa kuomba msamaha kwa kila kosa au makosa yote.

Inategemeana aina ya kosa na mwenzako yuko kwenye hali gani. Kuna baadhi ya makosa kunyamaza, kulia, kutania, kucheka au kusema tu samahani inaweza kuyeyusha hasira yote. Jambo la muhimu, mkosaji aonyeshe nia ya dhati ya kujutia kosa.
 
"Mume wangu/ mpnzi unajua ni jinsi gani nakupenda, na hata katika hali gani siwezi kukubali kukupoteza, nakupenda hadi shetani anaona wivu ndiyo maana analeta majaribu, amini kile nikuambiacho hata kwa kilichotokea binafsi kinaniumiza ila Nina Furaha maana shetani hatofanikiwa"
Basi atakuelewa
Woooh..!,maneno matamu sana haya,,lazima niyachukue ili siku ikitokea nimemkwaza Mama watoto basi nimtulize nayo.!
 
why bro unakua mgumu hadi kwenye love
Kumuomba mpenz wako et "nisamehe"
Huo ni udhaifu mkubwa kwa mwanaume
Ni sawa na mtu mzima kumuomba mtoto mdogo " nisamehe "
Mwanamke hata umkosee vip tumia mbinu zngine tu za kumdanganyia akusamehe
 
Duh wengine msamaha, hawaujui.ye akikukosea hakuombi msamaa ila anakugeuzia kosa uonekane we ndo mkosaji....
 
"Mume wangu/ mpnzi unajua ni jinsi gani nakupenda, na hata katika hali gani siwezi kukubali kukupoteza, nakupenda hadi shetani anaona wivu ndiyo maana analeta majaribu, amini kile nikuambiacho hata kwa kilichotokea binafsi kinaniumiza ila Nina Furaha maana shetani hatofanikiwa"
Basi atakuelewa
Upo vizuri aisee, baada ya hapo mnamalizia na make up sex..Teh
 
Oya yaishe kama vipi??! Huku nafunga tai yangu vizur nakuweka PC kwenye bengi na kusepa ........
 
Back
Top Bottom