Ndiyo maana tumedumu mpaka Leo Baba P wangu. Nakupenda pia my loveThat's why i love you....! Mama p
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo maana tumedumu mpaka Leo Baba P wangu. Nakupenda pia my loveThat's why i love you....! Mama p
hah hapo kibutiSorry bhn
Thanks...[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Ndiyo maana tumedumu mpaka Leo Baba P wangu. Nakupenda pia my love
why bro unakua mgumu hadi kwenye loveYaishe dear,
Zawaidi ile ya ambayo ndo udhaifu wake,
Sio mm ilikuwa ndovu tu dear,
Niliteleza baby,
Acha nayo hayo ni kawaida kwa binadamu wote my sweetheart,
Sahau bac honey,
ila kusema nisamehe sahau
Neno nisamehe kwa mwanamke kwangu marufuku!
hahaha yaani..Hii id na yenyew mpya lkn inatamba
Nikweli mkuu ila hili tendo la kuomba msamaha huwa linatia ukakasi sana yani inabidi tu uombe kisela ili usijisikie mfadhaiko rohonihah hapo kibuti
Woooh..!,maneno matamu sana haya,,lazima niyachukue ili siku ikitokea nimemkwaza Mama watoto basi nimtulize nayo.!"Mume wangu/ mpnzi unajua ni jinsi gani nakupenda, na hata katika hali gani siwezi kukubali kukupoteza, nakupenda hadi shetani anaona wivu ndiyo maana analeta majaribu, amini kile nikuambiacho hata kwa kilichotokea binafsi kinaniumiza ila Nina Furaha maana shetani hatofanikiwa"
Basi atakuelewa
Kumuomba mpenz wako et "nisamehe"why bro unakua mgumu hadi kwenye love
Imekuja kwa kasi hahaha uyu.mwenyeji kabsa....Hii id na yenyew mpya lkn inatamba
UmetishaNanunua chupi nampelekea.
Alafu namwambia "Siku nzima nilikua nawaza chako kinachokaa humu mpaka nmejihisi kuumwa".
Akicheka ,najua tayar , hatimaye mzigo anakupa mambo yameisha.
Upo vizuri aisee, baada ya hapo mnamalizia na make up sex..Teh"Mume wangu/ mpnzi unajua ni jinsi gani nakupenda, na hata katika hali gani siwezi kukubali kukupoteza, nakupenda hadi shetani anaona wivu ndiyo maana analeta majaribu, amini kile nikuambiacho hata kwa kilichotokea binafsi kinaniumiza ila Nina Furaha maana shetani hatofanikiwa"
Basi atakuelewa