katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,124
- 5,745
Ndio maana tunayachezea tu kama vifimbo cheza harusi nchi nyingine unaona kama lady jadee katoa kifaa njee.Unalikuta jitu umelikuta na makosa kibao ambao kiuhalisia unatakiwa kuliacha na kulipiga chini mazima laikini unasema ngoja kwanza nilipe nafasi nyingine kama litakuja kuomba msamaha,jitu linakuja kichwa kichwa halijui hata liombeje msamaha yani limebung'aa
Kuna stages na steps za kuomba msamaha ukiruka hata moja tu msamaha utausikia kwa wenzio tu
Kuwa mjinga kubali hujui ili ujifunze
Haya ni mazuzu na machizi utahangaika nayo mpaka utakufa au utazeeka hayajijui licha yakujue dada chukua hatua mapema.
Tafuta wanaume nje ya nchi sio hapa unamuona gig money .
Asilimia kubwa wao hawajitumi yanatunzwa.
Yanapenda kulelewa.
Ipo siku yao yatageuzwa kisa uvivu.