Thamani ya maneno POLE na SAMAHANI katika Mahusiano

Mwambie aachane nae tena haraka, mapenzi ya mwanaume kulia lia mwisho Shinyanga kwa akina Shy land.
Mjini wanaume misamaha yao inashia kwenye kutafuta pesa ambayo baadae ndio huwa fimbo yakuwatulizia wanaowasumbua bhana.

Wanaume wa shinyanga Apologise lady hatujui kulia kulia.

sisi mwanamke akizingua anapewa mitege na migumi yakutosha
 
Last edited by a moderator:
Hivi kila anayetamka samahani anamanisha kweli ?
 
Hilo tatizo hata mimi ninalo sahivi, limetofautiana kidogoo.
Madem wa sahivi ni hovyo kabisa

Nimechagua kitu kitakacho nipa furaha ya kweli iwe kazi yangu tuu na Jf basi
Sitaki stress!!
 
Ni dogo lakini cha msingi kama mwanaume ebu pungusa stress na cheki your superconcious mind yako maana hiyoni real self ya binadamu kwenye hiyo level ya mind huwa no stress
 
Ni dogo lakini cha msingi kama mwanaume ebu pungusa stress na cheki your superconcious mind yako maana hiyoni real self ya binadamu kwenye hiyo level ya mind huwa no stress
Mia mkuu.....ushaur mzur
 
Habari zenu wakuu,

Naombeni jamani mnishauri mbinu nitakazotumia kumuomba msamaha mpenzi wangu.

Asanteni
 
*mpelekee zawadi ya kitu anachokipenda na card ya Am Sorry

*mtafute rafiki yake uongee nae vizuri akusaidie kukubembeleze au kama amemzoea shemeji yake(rafiki yako)

*mpotezee kwa muda usimkomalie sana huku unajidai kama upo biz sana siku hizi ila nafasi huna lakini unamkumbuka na siku ukipata nafasi utaongea nae kwa kituo.

*ongea nae face to face sio kwa simu wala kuchat, mkazie macho huku unamsifia na kumbembeleza na kujikosoa wewe kwamba umemfanyia makosa makubwa hayastahili kusamehewa (unajishusha kwamba umekosea)

*ukikutana nae ukimsalimia jaribu kumhug kwa muda kdg bila kumuacha kujitoa (kuna siri kubwa ya hug)

*unapomtamkia neno naomba samahani (try to mean it) moyo wako, sura yako, mwali wako jitahidi uongee kwa unyonge sana hadi unatia huruma 'unaweza hata kutoa chozi sio mbaya'[emoji26]
 
P1 san
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…