John mungo
JF-Expert Member
- Dec 8, 2013
- 1,008
- 1,028
Umempigaaaa?[emoji35] Apology not accepted! Tena aachane na wewe kabisa, akikusamehe utarudia. She should teach you a lesson so you never raise your hand to another woman, EVER!Yan inshu Ipo hv tunapendan san tumeish kwny relationship zaid ya miaka minne ila huu mwaka kwet umekua mbay san awez pita wiki tumekolofishan half mwnzang akifany kosa ataki kukubali kwa napata na hasira had najikuta nmempiga so kit nachotk kujua ni tumechokan au ni shetani tu ndo kapita
Mbinu zote hizo nimeshatumia mkuu mpaka nimekuwa mzoefu[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]Kaka [emoji23] [emoji23] [emoji23] unetisha
Kwani unalia kweli basi mkuu unajiinamia chini huku unafikicha macho[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]Hapo kwenye machozi pagumu sana kwa wanaume[emoji4] [emoji4] [emoji4]
Kwanza umemkosea kitu gani, tuanzie apo kwanza!?Habari zenu wakuu,
Naombeni jamani mnishauri mbinu nitakazotumia kumuomba msamaha mpenzi wangu.
Asanteni
You are so mean [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] . Yaani nimecheka huo msamaha.Huyo amekuchoka kisa Magufuli kabana huna kitu.,mpe makavu kwani yeye sio oxygen au maji kwamba ukimkosa hautaishi.....
View attachment 419321
Au... ...
View attachment 419322
Ha ha ha. Aisee mimi hapo bado. Yaani nimpigie magoti mwanamke ambaye sio mke wanguKwani unalia kweli basi mkuu unajiinamia chini huku unafikicha macho[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
Kama hakuna watu wanaokuona unaweza kupiga hata magoti kwani nani atajua[emoji125] [emoji125]
Unapiga tu mkuu[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]Ha ha ha. Aisee mimi hapo bado. Yaani nimpigie magoti mwanamke ambaye sio mke wangu