Thamani ya maneno POLE na SAMAHANI katika Mahusiano

Thamani ya maneno POLE na SAMAHANI katika Mahusiano

usipate shida huyo anakubeep tuu.mpelekee ATM CARD yako mpe password zauongo uone kama nusu saa itapita bila kukupigia cm."switii ilepassword sijui naikosea mm au nitajie tena basi!
 
Yan inshu Ipo hv tunapendan san tumeish kwny relationship zaid ya miaka minne ila huu mwaka kwet umekua mbay san awez pita wiki tumekolofishan half mwnzang akifany kosa ataki kukubali kwa napata na hasira had najikuta nmempiga so kit nachotk kujua ni tumechokan au ni shetani tu ndo kapita
Umempigaaaa?[emoji35] Apology not accepted! Tena aachane na wewe kabisa, akikusamehe utarudia. She should teach you a lesson so you never raise your hand to another woman, EVER!
 
Hapo kwenye machozi pagumu sana kwa wanaume[emoji4] [emoji4] [emoji4]
Kwani unalia kweli basi mkuu unajiinamia chini huku unafikicha macho[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
Kama hakuna watu wanaokuona unaweza kupiga hata magoti kwani nani atajua[emoji125] [emoji125]
 
Kwani unalia kweli basi mkuu unajiinamia chini huku unafikicha macho[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
Kama hakuna watu wanaokuona unaweza kupiga hata magoti kwani nani atajua[emoji125] [emoji125]
Ha ha ha. Aisee mimi hapo bado. Yaani nimpigie magoti mwanamke ambaye sio mke wangu
 
Ha ha ha. Aisee mimi hapo bado. Yaani nimpigie magoti mwanamke ambaye sio mke wangu
Unapiga tu mkuu[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
Mbona inasemekana eti baadhi ya wakuu wa nchi Africa wakienda kuomba msaada sometime wanapiga mpaka magoti huko maofisi ya wakubwa wa mataifa.(sema tu hatuwaoni)
Baba tuonelee huruma!!
Tusaidie baba!!
Wananchi wangu watakufa na njaa!!
*mtaka cha mvunguni sharti uiname[emoji23]
 
Jaman ee , heb leo tuelekezane namna ya kumuomba msamaha baby wako endapo smekufania toeni massage tamu
 
Ukifumaniwa maanake wewe una chembechembe za ukahaba
Hutosheki
 
Akufumanie alafu umlaghai kwa maneno kisha uendelee kumuibia?
 
Kufumaniwa haina msamaha, hiyo mpaka Biblia imeruhusu watu kupeana talaka. USHAURI:- Kuchepuka hakuwezi kukuacha salama, mwombe Mungu wako msamaha na uache hiyo dhambi. Na hayo ndio maneno yangu matamu ya kuomba msamaha.
 
Kila kitu hutokana na sababu kama ukimueleza mpenzi wako sababu za wewe kuchepuka mpka yeye kukufumani na akazielewa IPO haja ya samahan kwa both part
 
Back
Top Bottom