Thamani ya maneno POLE na SAMAHANI katika Mahusiano

Hahahahahaaa ni kipaji kinakuja outo Kama mwanaume kuwa muongo ili kubalance penz lake na mahusiano mazur na familia yake
 
Poleni na majukumu,

Naomba kuuliza hivi ukigungua umemkosea mwenzako, ukaamua kuomba msamaha ni kujishushia hadhi au ni kuonekana bila yeye wewe hauwezi kitu.

Naomba tusaidiane kutafakari
 
Reactions: BAK
sasa umekosea na umejua umekosea kwanini usiombe msamaha, kuacha kufanya hivyo ni kuhalalisha makosa.
 
Inategemea kama unakubali kwamba ulichofanya hakiko sawa. Kama umetenda kosa omba samahani yaishe. Ni kuonyesha uungwana na ustaarabu wako, lakini kama mtu anataka kukubambikia kosa ambalo hulioni ni kosa sioni kama ni sawa kuomba samahani. Hii inategemea pia ntu na ntu.

Poleni na majukumu.Naomba kuuliza hivi ukigungua umemkosea mwenzako,ukaamua kuomba msamaha ni kujishushia hadhi au ni kuonekana bila yeye wewe hauwezi kitu.Naomba tusaidiane kutafakari
 
Ukitambua kwamba hakuna aliye mkamilifu, utajua kuomba msamaha nijambo dogo sana pia inakufanya uwemakini zaidi kutorudia kosa
 
Kuna mtu nimemkosea namuomba msamaha karibia mwezi wa pili sasa lakini anaonyesha kuupotezea msamaha
Ww kaa kimya tu wala usimuwazie mabaya kama kakubali au kakataa msamaha hiyo ni juu yake kujibebea mizigo moyoni mwake...ww endelea kama kawaida ila usiongelee tena suala hilo
 
sijuai kusamehe ila kuomba msamaha ni sawa na kukili kosa lako
 
 
Mkuu umeshawafanya wazazi/walezi wako waonekane hawana maadili, kwamba wewe utotoni haukufunzwa
 
Nipewa kofia ya CCM nikaenda nayo home, mpk leo natumikia adhabu ya kumuomb msamaha wife kila jion
 
Unaenda huko unavua chupi kwa hiari yako,unapanua miguu watu wanafanya yao baadae eti unaomba msamaha hivi huwa hamjishtukii kabisaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…