Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poleni na majukumu.Naomba kuuliza hivi ukigungua umemkosea mwenzako,ukaamua kuomba msamaha ni kujishushia hadhi au ni kuonekana bila yeye wewe hauwezi kitu.Naomba tusaidiane kutafakari
Kuna mtu nimemkosea namuomba msamaha karibia mwezi wa pili sasa lakini anaonyesha kuupotezea msamahaKuomba msamaha/kusamehe ni tiba ya moyo wako...haki sawa achana nazo hazisaidii
Ww kaa kimya tu wala usimuwazie mabaya kama kakubali au kakataa msamaha hiyo ni juu yake kujibebea mizigo moyoni mwake...ww endelea kama kawaida ila usiongelee tena suala hiloKuna mtu nimemkosea namuomba msamaha karibia mwezi wa pili sasa lakini anaonyesha kuupotezea msamaha
Asante kwa ushauri nitaufanyia kaziiiWw kaa kimya tu wala usimuwazie mabaya kama kakubali au kakataa msamaha hiyo ni juu yake kujibebea mizigo moyoni mwake...ww endelea kama kawaida ila usiongelee tena suala hilo
Poleni na majukumu,
Naomba kuuliza hivi ukigungua umemkosea mwenzako, ukaamua kuomba msamaha ni kujishushia hadhi au ni kuonekana bila yeye wewe hauwezi kitu.
Kuwepo kwa fursa ya kuomba msamaha isiwe silaha ya wewe kutenda kosa lile lile ati kwasababu unajua kwamba asipo kusamehe na baba yake wa mbinguni hawezi kumsamehe makosa yake. Ukisamehewa tabia hiyo usirudie ukirudia anakusamehe, unarudia kosa lile lile lile anakusamehe tena unarudia lile lile leo unakuja jf eti husamehewi anakuwa unaikosea adabu jf wewe endelea tu na mpango wako na wale jamaa zako hao watakusahe.
Naomba tusaidiane kutafakari
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Kumuomba mwanamke msamaha halafu unamlisha hapana aseeee