Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa iyo ndogo kama unakumbuka ilikuaga 1usd= 2500tsh....c ushukuru tunapanda ...tutafika tu 1usd=1000tsh
Naweza kukuambia uelewa kuhusu financial markets ni mdogo au hauko updated kabisa hilo unalosema kuhusu export na imports kama ndio zinafanya sarafu kupanda au kushuka sio kweli labda kwa zamani sawa ambalo hilo ndo lengo la mwanzo lakini kwa sasa hivi sarafu ya pesa thamani inapatikana kutokana na nguvu ya demand na supply kutokana na biashara kuhodhiwa na mabenki .Ukisoma hii thread utaona watu wanalalamika na wengine wanabeza...nachelea kumlaumu baba wa taifa kwa kutuingiza kwenye ujamaa uliotugeuza mind set na kutufanya tuamini kila kitu inchi hii ni kazi ya serikali na kuilaumu kwa kila kitu...mostly humu ni waajiriwa, unaauza nn nje ya inchi ili kuifanya pesa yetu ipande hapo ofcn kwako?wengine wana trade forex,forex wont uplift thamani ya pesa yetu,only the goods and services we offer overseas ndo vita uplift pesa yetu. As we know serikali yetu haifanyi biashara zaidi ya kujaribu ku regulate soko la pesa. in a real sense hii ni kazi ya wakulima na wafanyabiashara..the more our products zinakua demanded huko nje ndivyo na thamani ya pesa yetu inapanda...so lets stop complain and start helping our country,inchi hii itajengwa na sisi wenyewe.
Juzi tu December 2017 ilikua 2225-2235Tshs.Duh! Few days ago it was 1U$= TZS 2,255
Lini ilikua 1USD=2500tshs? Au ndio zile habari za kilo ya sukari ilikua 5,000 nimeishusha mpaka 3,000?Sasa iyo ndogo kama unakumbuka ilikuaga 1usd= 2500tsh....c ushukuru tunapanda ...tutafika tu 1usd=1000tsh